Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,937
- 1,193
Nchini Uingereza mama mmoja amekuwa akikamua maziwa yake na kuyatumia kupikia chai ya wanafamilia.
Wanafamilia wamekiri chai hiyo kuwa na virutubisho vingi sana. Na wanaipenda
Kwa TZ wapo wanaosema yana ondoa hang-over Je ni kweli?
Hakuna kiumbe chochote duniani kinacho kunywa maziwa ya kiumbe mngine isipokua binadam tu, tunakunywa maziwa ya ngombe au mbuzi. Pia hakuna kiumbe kingine kinacho kunywa maziwa baada ya utoto, isipokua binadam tumejiweka kunywa maziwa hadi uzeeni. Binafsi I would rather drink human milk than cow or goat milk.
Ningekuwa mwalimu wako ningewaambia watoto wengine wakupigie makofi kwa swali zuri.
its true kuwa maziwa ya mama yana virutubisho sana thats why mtoto kama hakunyonya maziwa ya mama anakuwa na mapungufu flani......ila sasa sipati picha ladha ya hiyo chai inakuwaje!!Wanafamilia wamejuaje ina virutubisho? Wana maabara kama ya tfda?
I tasted kidogo on a spoon, hayana ladha and smels funny.
sio matamu mi hapa nanyonyesha hata yakiwa yanamwagika nikijaribu kuonja nashindwa kumeza, sio matamu, labda watoto wachanga ndo wanaona matamu ila kwa mtu mzima hapana
Lakini unafahamu kama daily requirement kwa ajili ya mtoto ni tafauti kabisa na ya mtu mzima? Manake tunaongelea nutrients kwa ajili ya baba na teenagers pia.its true kuwa maziwa ya mama yana virutubisho sana thats why mtoto kama hakunyonya maziwa ya mama anakuwa na mapungufu flani......ila sasa sipati picha ladha ya hiyo chai inakuwaje!!
yeah nafahamu labda idea nliyokuwa nayo mimi ndo wanayotumia wao pia.Lakini unafahamu kama daily requirement kwa ajili ya mtoto ni tafauti kabisa na ya mtu mzima? Manake tunaongelea nutrients kwa ajili ya baba na teenagers pia.
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
sio matamu mi hapa nanyonyesha hata yakiwa yanamwagika nikijaribu kuonja nashindwa kumeza, sio matamu, labda watoto wachanga ndo wanaona matamu ila kwa mtu mzima hapana
hyo familia ya watu wangapi maana kama ni zaidi ya watano si inahitajika zaidi ya lita moja kila siku....spati picha basi huyo mmama alivyo!!
Sababu binadam mnawapa, but naturally it would never occur to a cat to suck a cow nipple. (hata picha inachekesha)hujui kama paka na mbwa wanakunywa naziwa ya ngombe
Sababu binadam mnawapa, but naturally it would never occur to a cat to suck a cow nipple. (hata picha inachekesha)
any rule needs an exception. lol