Hakuna kiumbe chochote duniani kinacho kunywa maziwa ya kiumbe mngine isipokua binadam tu, tunakunywa maziwa ya ngombe au mbuzi. Pia hakuna kiumbe kingine kinacho kunywa maziwa baada ya utoto, isipokua binadam tumejiweka kunywa maziwa hadi uzeeni. Binafsi I would rather drink human milk than cow or goat milk.
Unajua human being (or any mamal) anapo zaliwa anakua hajamaliza kuumbikaSi ile mi protein ya uhakika?
good guess (I am a woman).Can you drink your own? (I presume you are a woman)
I tasted kidogo on a spoon, hayana ladha and smels funny.Ushawahi kujaribu....?
Ningekuwa mwalimu wako ningewaambia watoto wengine wakupigie makofi kwa swali zuri.
ha ha ha..., kweli aiseeMgeni akinywa tu anakua nduguyo!!
Mkuu ulishawah kuyaonja nn?
Haya maziwa ni matamu haswa.....
Nasikia kuwa ni Anti cancer (hukinga magonjwa ya cancer) sijui kweli?
That is the last thing i,ll taste nikiwa na akili timamu. Sipati picha matiti ya huyo mama ni makubwa kiasi gani mpaka yatoshe kukamua maziwa ya familia, nadhani ni type ya akina mama ambao akipiga deki akiwa hajavaa kitu juu utadhani ana mikono minne.
yana ladha mbaya kivipi??yanaladha mbaya , na hayana virutubisho vya kukidhi haja ya mwili kwa mtu mzima ndiyo maana mtoto akifikisha miezi 6 inabidi aongezewa chakula kingine cha ziada.( chini ya miezi 6 ni chakula kizuri sana kwa afya ya mtoto)
yana ladha mbaya kivipi??
mara ya mwisho ulinyonya maziwa ya mama lini?? maziwa ya mama yana ladha ya chumvi na sukari na sukari imezidi zaid, ila ni mepezi siyo mazito kama ya ng'ombe. siku ya kwanza mama anapozaa maziwa haya huwa na colostrum nyingi hivyo yana virutubisho vingi sana sana. mtoto wa six month hulazimika kuwa nalikaiziwa kwasababu maziwa pekee hayawez kumfanya tumbo lishibe kama alivyokuwa kichanga. na hii hutokana na uwezo wa mwili kustahimili vyakula mbadala lkn pia hii ni ili kumfanya mama asichoke sana mwili wake kwani ukumbuke mama anaponyonyesha basi sehem kubwa ya virutubisho ambavyo aanakula hupelekwa kutengeneza maziwa. mama asipokula vyema mwili wenyewe hujitahd kutumia kisi kidogo cha virutubisho ili kutengeneza maziwa yenye qualitaya huku mam akiachwa kuwa nyongefu na hata kupata utapiamlo wa uzazi.
siku zote kama ni mlaji wa vyakula bora vyema basi maziwa yake yanakuwa na quality nzuri ambayo ina virutubisho vyote muhimu kwa mwanadamu hata kama ni mtu mzee.
. siku ya kwanza mama anapozaa maziwa haya huwa na colostrum nyingi hivyo yana virutubisho vingi sana sana.