Sophia Mnyambi SIMBA
Ulanga Agathon SIMBA
Connection na Idd Simba?
Wakati mwingine watu wanafeli mitihani hivi hivi huku wanachekelea kuwa "wamepatia ile mbaya"....
Mwali kasema:
halafu akaongezea...
tena akaweka na weusi kuonesha msisitizo na sharti (kama umeona mengine).
Sasa ukiulizwa umeyaona majina hayo kwenye orodha ipi ya CCM...?
Kudumu chama cha mapinduzi.
Kikwete ndo kaweka familia kabisa,ndo maana hajaenda UN General Assembly asimamie NEC huko khaaa.
Mbowe nae si alipita bila kupingwa au!?
Hizo hasira sasa sijui utaenda chama gani Chadema nako utakutana Tundu Lissu, Christian Lissu, Philemon Ndesamburo, Owenya Ndesamburo, Mke mkubwa wa Dr Slaa, Rose Kamili Slaa.
Vipi hawa sio ndugu zako Josephat Manyerere, Vicent Nyerere, Leticia Nyerere.