Chagua wachezaji bora watatu kutoka katika list hii

Ronaldo

Ronaldo

Ronaldo

Bila huyu mwambia huenda mm leo nisingekuwa shabiki wa mpira.
 
Watoto wadogo bwana vitoto vya 2000 havijui soka kabisa sasa ngoja niwachambue

Crespo ronaldo pele batistuta hao wrnue namba 9 futa kabisa hao hamna kitu ni wqchezaj walioonekana sababu ni washambuliaji sio player marker sio dribber hamna kitu uyo kaka pia mfute apo uyo alibahatisha soka

Ronaldinho ukitaka watu wacheke uwanjan weka hii mtu inaweza mvua mtu nguo humo jumo anajua kupiga pas na chenga huyu humkosi japo ufungaj hakuwq mzur sn

Maradona rekod zke fifa wamezifuta sababu aligundulika anatumia madawa ya nguvu

Hao washamba wengine mm siwajui

Neymar messi ronaldinho ndio jibu

Uyo romario ni mwanga tu alipigwa bench na ronaldinho
 
Wabrazili ni watoto sana kwa Argentina,,,ukiwakutanisha hao brazili anakula nyingi mno, kushoto Maradona, mbele crespo, kulia Messi, nyuma kidogo Oriel Ortega, kati cannigia, kulia Requelme, hapa ushamaliza kazi.
 
Back
Top Bottom