Chagua jina la kumpatia mtoto

Chagua jina la kumpatia mtoto

09.09.2019
kuna tisa 3 hapo.
tarehe 9 mwezi wa 9.
namba yake ya bahati ni 9.
kuna uwezekano pia akawa amezaliwa saa 9, saa 6 au saa3.

muite Janaina ikimaanisha "janine/ja9"

jah ni mungu.
jina lake linakua na muunganiko wa mungu baba muumba pamoja na namba yake ya bahati, ni jina la kike zuri.
Kwani namba ya bahati uwa ni namba ya kuzaliwa au niaje niaje? Kama ndio hivyo vipi kwa wale waliozaliwa double digits dates I.e 22,26,17,18 nk
 
janet nimelielewa zaidi mkuu thanx
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...

🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

Samahani lakini.
Thread za kijinga hivi ndivyo nakomenti.
 
tafadhali wadau, nimejaaliwa kupata mtoto wa kike juz tarehe 09.09.2019
naomba mnisaidie kunichagulia jina zuri lenye kuanza na herufi J.
Majina ya kuchaguliwa mitandaoni sio mazuri... Huwezi kuchaguliwa jina na mtu ambaye humfahamu hata sura achilia mbali jina
Kuna ibilisi humu wanaotafuta miili ya kujenga madhabahu zao... Watakuchagulia jina zuri linalovutia mno... Na wataliundia roho.... Ukilichukua tu hilo jina na kumpa mwanao umekwisha... MAKINIKA
 
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Samahani lakini.
Thread za kijinga hivi ndivyo nakomenti.
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]tayari jina lishaundiwa roho hili
 
Majina ya kuchaguliwa mitandaoni sio mazuri... Huwezi kuchaguliwa jina na mtu ambaye humfahamu hata sura achilia mbali jina
Kuna ibilisi humu wanaotafuta miili ya kujenga madhabahu zao... Watakuchagulia jina zuri linalovutia mno... Na wataliundia roho.... Ukilichukua tu hilo jina na kumpa mwanao umekwisha... MAKINIKA
Muache... Ndo mabaharia hao.
 
Badili herufi mkuu... Wanawake wanaoanzia herufi J huwa wanakuwa malaya sana..alafu hawaolewi..hata wakiolewa hawazai na ikitokea wamezaa watoto hufaa...

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Samahani lakini.
Thread za kijinga hivi ndivyo nakomenti.
Mbona Janeth wa John kamzaa Jesca...mama hakuwa malaya, Jesca sio malaya na bado anaishi...
 
Paula
Janice
Dorcas
Madeleine
Hosiana
Elisabeth
 
Kwani namba ya bahati uwa ni namba ya kuzaliwa au niaje niaje? Kama ndio hivyo vipi kwa wale waliozaliwa double digits dates I.e 22,26,17,18 nk
double digits unajumlisha, kama ni 31 = 3+1 etc
 
Back
Top Bottom