TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Hiyo habari ya Tanga itapata mashiko baada ya uchaguzi. CCM wamewekeza sana kwenye propaganda baada ya kuona watz wanajua thamani ya amani, kila tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi CCM wanakuja na propaganda mpya na baada ya uchaguzi mambo yanatulia. Nakwambia kabisa ukikuta kuna kikundi chochote kinaonekana kama tishio kwa nchi hii ujue kinalelewa na ccm, nje ya hapo hakuna kikundi kinachoweza kusumbua Polisi na JWTZ. We subiri utasikia baada ya uchaguzi.
Mh! kwamba Tz ndo mwamba kuliko Nigeria ktk Africa au Kenya kias yakwamba hakuna Kikundi chochote cha kigaidi kinaweza kufanya vurumai?
Huo ni mtazamo wako tu mkuu. Amini issue hii iko serious.