Utashirikianeje na chombo ambacho kimeshindwa kabisa kushirikiana na raia kwa kisingizio cha amri kutoka juu. Polisi ina ushirikiano na watoa amri kutoka juu na siyo raia. Hao watoa amri kutoka juu ndiyo wafanye kazi na washirika wao polisi. Polisi wenyewe wameota matumbo kama wamevimbiwa mawe, hawawezi kazi ngumu zaidi ya kuwapiga akina Lipumba. Ngoja wale kichapo huko TangaNinyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.