Uroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
Chadema watakuwa hawataki kutoka madarakani eeeh?? Duuu!
Hawa chadema hawa....
Uroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
Ndio akili yako ilipoishia kupambanua?
Bomu la Olasiti kanisani Arusha mlimkamata muhusika yupi?
Bomu la Soweto Arusha kwenye mkutano wa CDM nyie wazee wa Kichaa Gonja mlimkamata nani?
Ulimboka alitekwa na majambazi wapi?
Lwakatare aliambiwa na haohao kina kichaa Gonja kwamba ni Gaidi hatari sana mpaka mbunge wako sasa ni Waziri mdogo akadiriki kusema ana ushahidi duniani na mbinguni kwamba Lwakatare ni Gaidi, ni nini kilitokea?
Nadhani mnajua wenyewe CCM na PoliCCM.
Leo hii utakuja kuniaminishaje wavaa yeboyebo ni eti wamewatoa polisi wako kijasho mpaka mkaenda kuita wanajeshi lkn magaidi yakaimbia yote.
Haya, hao askari majeruhi wako wapi? Kwanini hamtaki waandishi wa habari?
Huyo mwanausalama aliyekufa anazikwa wapi, lini?
Uroho wa madaraka unawafanya CHADEMA kupinga kila jema linalofanywa na CCM kwa watanzania.
Mh!
Hata wangevaa "MAGURUDUMU" kama ya masai bado wangeweza kuchafua hali ya hewa.
Hata wangevaa gun-boots na sare za kijeshi, kama unania ya kukejeri ungetunga habari nyingine tu.
Askari waliojeruhiwa au waliouawa lazima watatanabaishwa tu. Hii ni system na utaratibu wa taasisi ya kijeshi(u never know). Lakini mwisho wa siku, hakuna kitakachofichika maana kama mtu kafa, lazima atazikwa publicly.
Naogopa kwamba hata majeruhi & huyo alofariki wakioneshwa wazi, mtasema ni MAZINGAOMBWE! Teh! kazi sana Bongo-land...
Isijekuwa kumbe ni mazoezi ya kupima utayariUnajivamia,unajiteka,unajitorosha,unajisaka na hatimaye unatangaza kujitafuta kwa udi na uvumba.Matukio yote haya haya hayana majina ya waathirika.
Kweli siasa zimefikia mahala pake!Tutashuhudia mengi 2015.
Kumbe unaamini bongo mazingaumbwe.
Ndiyo serikali yako hiyo.
Ktk dunia ya leo taarifa/habari unaipata haraka kuliko kitu chochote ila nyie na uzee wenu bado mnafikiri ktk Mzalendo, Uhuru na Sunday News.
Wale wavaa yeboyebo wawili ndiyo walisimamisha jeshi zima la Chagonja mpaka mkaenda kuita wanajeshi nao walishindwa kukamata hata mmoja?
Mlivyomuuwa Mwangosi, huyu huyu Chagonja si alikimbilia kutoa ile kauli ya 'kitu chenye ncha kali' dakika chache alivyopewa video mbona alinyamaza.
Utapeli huu ndiyo mliotufikisha nao hapa nyie wazee mliochoka.
Hata Balali mlituambia amefanyeje.....??
Yaani mpaka mnasikitisha.
Mkuu nina wasiwasi hujaelewa hiyo comment
Si kweli kwamba ni wale wawili tu ndo walipambana na Polisi(wavaa yeboyebo kama unavyowaita).
Fuatilia video za Aboubakar Shekau namna ambavyo huwa anahotubia akiwa na vijana wachache tu.
Lakini haimaanishi kuwa huwa ndio Boko Haramu yote ile. Mambo mengine niyakujiongeza tu. Sio hadi mtu ajaze ubao kuandika notices.
Mbona hilo liko wazi sana.
Kama policcm walikuwa 200 na wakawashindwa ina maana kulikuwa na wavaa yeboyebo 2000 ndiyo maana policcm ikabidi waombe msaada wa JWTZ ambapo nao kwa ushirikiana walishindwa hata kumjeruhi mvaa yebo hata mmoja wakaishia kujeeuhiwa na kuwawa wao.
Basi labda tuconclude kwamba wavaa yebo ni hatari kuliko hata JWTZ
Teh! wewe kama hujui mziki wa hawa wadudu nenda kaulize Defence forces za Nigeria,Iraq & Syria.
Ikishathibitika kuwa ni wadudu hao(terrosist groups),zitahitajika juhudi za pamona na mataifa mengine. Unless hapatakalika hapa.
Ok, kwahiyo intelijensia ya geshi la Chagonja bado hawajathibitisha kama ni hawa wadudu au la?
Ila kwenye maandamano ya amani ya CUF au CDM Chagonja huwa anajuaga miezi kadhaa kabla kwamba kutakuwa na uvunjifu wa amani.
Mko vizuri
mangatara
Ninyi muishi tu kwa assumpitions hizohizo badala ya kustuka na kutoa ushirikiano kwa serikali,kalieni hayohayo kwamba ni mbinu zaCCM.
Tuombe uzima. Mtakiri tu kwamba ushabiki kama huo mnaoufanya hauna mantiki hata kidogo.
Take my words with a special regards. Nakuhakikishia jambo hilo.
Wewe kweli ni kada wa ccm,unajidai kutoa mawaidha kumbe unaomba tuwepo ili tupigwe mabomu na hao wenzio?,"eti tuombe uzima tutaona"!!
Mkuu; tusiende mbali sana.
Soma comment namba 73, kuna mzalendo kawajibu vizuri sana hapo.
Bye!
Hiyo habari ya Tanga itapata mashiko baada ya uchaguzi. CCM wamewekeza sana kwenye propaganda baada ya kuona watz wanajua thamani ya amani, kila tunapokuwa tunaelekea kwenye uchaguzi CCM wanakuja na propaganda mpya na baada ya uchaguzi mambo yanatulia. Nakwambia kabisa ukikuta kuna kikundi chochote kinaonekana kama tishio kwa nchi hii ujue kinalelewa na ccm, nje ya hapo hakuna kikundi kinachoweza kusumbua Polisi na JWTZ. We subiri utasikia baada ya uchaguzi.Mkuu; pahala popote palipo na watu wawili au watatu, lazima watofautiane mawazo. Hata kama mtu au system fulani (eg.CCM kwa sasa) itakuwa na mazuri yapi, watapatikana watu kadhaa waku'disqualify.
Hata TANU & Nyerere mwenyewe huyu tunayemuenzi(R.I.P) alipata kujaribiwa. Kuna kundi fulani lilitaka kumpindua be it kwa nguvu au Kidemokrasia miaka hiyo na likapata idadi nzuri tu ya Watanzania kama ilivyo kwa upinzani waleo hii.
Siasa Majitaka zipo tele mle CHADEMA( Rejea Hotuba ya Z.KABWE kwa media kipindi cha mgogoro wao).
Tusihame sana mada. Tunajadili issue ya Tanga. Naona hapo hujagusia hata kidogo habari hiyo.
Thnx!