NTIGAHELA
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 362
- 254
As much as sikubaliani na msimamo wa ACT katika mambo kadha wa kadha lakini sikubaliani na viongozi wa CHADEMA kumshabulia mkuu wa chama cha ACT ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Ndugu Zitto kaufanyia upinzani mambo makubwa, Yeye ndiyo aliyekuwa nguzo kuu ya upinzani iliyobaki kutusemea wananchi kuanzia mwaka 2017 hadi 2019 wakati huo viongozi wa CHADEMA wakiwa hospitali au wakiwa Jela. Zitto alisimama kidete kuwatetea baadhi yao walipotajwa kwenye kashfa kubwakubwa, na alionyesha utu mkubwa kuwatembelea badhi yao hospitali na hata huko jela kuwafariji.
Katika uchaguzi mkuu wa 2020, Zitto alifikia hatua ya kusacrifice kutomnadi mgombea urais wa chama chake mwenyewe ACT ndugu Membe ili tu kumpa nafasi Tundu Lissu aweze kufanya vizuri katika uchaguzi huo. Nilitegemea viongozi wa CHADEMA angalau wawe na humility wanapomuaddress Zitto, wasiwe arrogant kudhani kuwa Legitimacy yake itatokana na namna gani yeye ataendelea kuunga tela katika kila approach wanayokwenda nayo.
Zitto anaweza kuwa hayuko CHADEMA, lakini anamjua vizuri Mbowe na pengine anamjali zaidi Mbowe kuliko wengi huko CHADEMA wanaojifanya kumlilia sana Mbowe hata kushushua wenzao heshima!. Zitto na Mbowe wametoka mbali, hawakukutana barabarani!.
CHADEMA wasipende kujifanya ni watu wa misimamo wasiokosea.
1. Kabla ya mwaka 2015 wamewahi kuandaa list ya mafisadi na wakamtaja mheshimiwa fulani kuwa ni fisadi, mbona baadae walimpa mtu huyohuyo nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania urais wa nchi hii? - Kwa hiyo ina maana CHADEMa walitaka kuikabidhi nchi hii hata kwa Fisadi ilimradi tu washike dola?
2. Mwaka Jana mbona wao CHADEMA na kamati kuu nzima walipanda ndege kwenda kuomba maridhiano na JPM, na kwani kile alichoongea Zitto jana mbele ya mheshimiwa rais SSH kina tofauti gani in principle na kilichozungumzwa na Mbowe pale Kirumba Stadium?
Watu wa CHADEMA wamekosa hoja dhidi ya Zitto wanaanza sasa kushambulia eti namna alivyodeliver speech yake, huko ni kuargue semantics, siyo kuargue points. Zitto hahitaji kuongea kama Mdude Nyagali mbele ya rais ili tu kuonyesha kwamba ana hasira sana. Cha msingi ujumbe umefika na umeeleweka, na kama CHADEMA wanahisi Zitto kakosea namna ya kudeliver basi wangeenda wao wakadeliver wenyewe.
Pia niwaombe wanachama wa CHADEMA wamwambie makamo wao pindi akifanya mijadala na watu mitandaoni aache kutumia maneno ya kutweza watu kama vile "hii hoja yako ni ya kijinga", kwa sababu na watu nao wana maneno ya shombo wakiamua wanaweza kumgeuzia kibao na yeye wakaanza kuziita "hoja zake ni za kijinga" halafu moderators wakaanza kublock au kumute watu, Tuwe na humility!
Mimi napenda siasa za hoja siyo za kushambuliana, Nataka nione points siyo ad-hominem Attacks
Japo Sikubaliani na approach ya ACT ya namna ya kudai demokrasia nchini, Lakini Jana ndugu Zitto kaupiga Mwingi, kanikosha sana jinsi alivyokuwa akijibu hoja za wanachadema na viongozi wao waliokuwa wakimshambulia mno kule kwenye mtandao wa Clubhouse.