CHADEMA yazindua Sera Mpya

CHADEMA yazindua Sera Mpya

nimekosea nini tena ndugu yangu??

Kwani leo dada hatuelewani wapi jamani???!!!

Walitoa website ya watu kuchangia na wewe ukiwa mtaalamu katupiemo contrbution on those mentioned aspects ndio nilichomaanisha!!!!!

Samehe lugha please kama sikueleweka my dada!!!!!
 
Hii thread haitaguswa na yale maboga ya Lumumba

Huwezi kutoa maoni yako mpaka utukane, sawa unayaita maboga lakini ndo hao viongozi wako wanaoongoza serikali hii ambayo inakupa usingizi amani, shibe inayokufanya ubwatuke ovyo. shika adabu yako. jifunze kuwa mkomavu wa akili, hayumkini wewe mzungu wa unga?
 
Mkiguswa penye ukweli mnaanza kuporomosha matusi. Waislam acheni kukubali kutumiwa kama KONDOM na wana siasa.

Mlitumika 1995 Kwa kuanzisha chama chenu cha CUF mkazigawa kura za Mrema Mkapa akashinda
Mkatumika 2005 kwa kukimbilia kumchagua Kikwete eti ni mwenzenu, sasa hivi maisha yanawakaanga kama wengine

Mlitumia 2010 kwa kumchagua JK na Lipumba akamsaidia JK kushinda

Mnatumika hata sasa kwa kuisema Chadema vibaya ilhali mnajua ni UONGO, eti Chadema ni chama cha wakristo.

Nyakati zote hizo mnatumika na CCM, MoU inazidi kuboreshwa na sasa ni nono zaidi, Mahakama ya Kadhi itakayogharamiwa na serikali ni ndoto, haitakuja kutokea, Waislam bado mnamadai lukuki dhidi ya unyanyaswaji mnaofanyiwa na Serikali ya CCM.
Kadhi mlioahidiwa 2010 mmefanywa kejeli na dhihaka, hakuna cha kadhi wala baba yake kadhi.
Ijumaaa ni siku ya kupiga mzigo kama kawa hakuna mapumziko wala nini wakati wenzako jumamosi na jumapili ni siku ya kushinda kwenye mabanda ya kitimoto kula na kunywa.....

Endeleeni kutumika kama kondom tu...!
CC THE BIG SHOW Ritz kahtaan Barubaru gombesugu faizafoxy Masanilo Mzito Kabwela

Naona shangazi unatafuta mume kwa nguvu!
Huku vyumba vimejaa!
Mjaribu Nicholas na Nyakageni
Hao wawili kutokana na kuendekeza vileo vya bure au huenda jogoo haliwiki mpaka leo hawajapata jiko bado!
Huenda ukafanikiwa! After all they are all chademas!

faby wabara. mohamed ally
 
Last edited by a moderator:
kwani leo dada hatuelewani wapi jamani???!!!

Walitoa website ya watu kuchangia na wewe ukiwa mtaalamu katupiemo contrbution on those mentioned aspects ndio nilichomaanisha!!!!!

Samehe lugha please kama sikueleweka my dada!!!!!

kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!
 
we ndumyana chadomo ni chama waoza meno na waabudu sanamu (kale ka mungu kaliyezaliwa badae kakabamizwa na watu wake) hako ka chama kanaanzia himo kanaishia stendi ya vifodi arusha! huyo padri labda awe rais wa mamako na dadako lakini sio raisi wa tanzania umeskia we LAANATULLAH
 
Last edited by a moderator:
Mnyika jumbo lako ubungo limekushinda hakuna maendeleo yoyote uliyofanya maneno tu kweli siasa ni uongo tu na huu ndio mwisho wako hatukuchagui tena katafutesha ulime

Umeelewa kinachoongelewa? ama huelewi maana ya maendeleo? harafu JUMBO na KATAFUTESHA ni nini?
 
Mkuu wewe unaipata hiyo sera?

Maana kinachoonekana kwenye screen yangu ni

View attachment 124384

Mkuu Tumaini Makene kasma upo around hebu tuwekee hiyo sera hapa jukwaani...
Mkuu Tuko CHADEMA mna mambo...mi ilikuwa kila nikifungua, holaa...kila nikifungua; holaaa; nikadhani kv natumia Nokia ya Kichina! Nikaazima Pc ya jirani ndo ikafunguka hiyo "Sorry, no entries found!" Nikarudi kwenye Nokia yangu ya Mchina, kwa bahati mbaya nika-click kale ka-tab ka mwisho kulia kalikoandikwa CHANGIA...ebana wee!! Mara moja tu, shwaaaa, hwaaaaa!! Page safiiiiiiii, full mautundu ya magrifiki dizaini!!"
 
Last edited by a moderator:
kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!
Duh ...kumbe saa nyingine tunabishana na waliojikatia Tamaa ya kuishi humu?
 
kwanza nisamehe mimi manake leo sijui nikoje...................
Ila to be honest my brain is not working properly, na ndo mana toka saa tisa nikaamua kushinda humu.
Nisamehe sana uzee huu sio matani lol!!


Dada akisema unafanyaje sasa!!!!
Pole mamy,hope utakuwa fine soon!!!
 
kubishana kunaongoza kwa maada hii,mmesahau kuchangia maada.chadema mmefanya poa sana
 
Leo tarehe 01/12/2013 Chama kimezindua rasimu ya sera mpya ya mabadiliko ya Tabia ya nchi. Akizindua Sera hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Ndani wa Chama Mh. John John Mnyika (Mb) ambaye aliambata na Katibu wa Baraza la Wanawake la Chama Mh. Naomi Kaihula, Afisa wa Sera na Utafiti wa Chama Mh. Mwita Waitara pamoja na Maafisa wengine wa Chama; Mh. Mnyika amesema CHADEMA ndio taasis ya kwanza kuzindua sera hiyo hapa nchini.

“CHADEMA ndio Chama cha kwanza hapa nchini na Afrika kuwa na Sera ya Mabadiliko ya Nchi. Hata serikali yetu pamoja na kuwa Rais na Viongozi wengi wa Serikali wameshashiriki mikutano mingi kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia ya nchi lakini mpaka leo Tanzania haina Sera ya kukabiliana na janga hili” Alisema Mnyika.

Mh. John John Mnyika
Mh. John John Mnyika

Mnyika aliongeza kuwa Rais ameshashiriki mikutano mingi akitolea mfano mkutano wa hivi karibuni uliofanyikanchini Scotland ambapo Rais alihudhuria ukiwa ni mkutanowa 19. Mikutano hiyo inayojulikana kwa jina la CORP imekuwa ikifanyika kila mwaka katika nchi mbalimbali ambapo mwaka juzi ulifanyikia Daban Afrika Kusini, mwaka jana ulifanyikia Doha Qatar na mwaka huu umefanyikia Scotland.

Mnyika ameongeza kuwa kilichozinduliwa leo ni rasimu iliyoandaliwa baada ya kukusanya maoni kwa wadau mbalimbali wakiwemo wataalam wa mazingira na sasa kitakachofanyika ni kukusanya maoni kutoka kwa Watanzania kwa muda wa mwezi mmoja na baadae Sera kamili itazinduliwa.

Sera hiyo inapatikana katika tovuti yetu katika kipengele cha Sera za Chama. Unaweza kuisoma na kutoa maoni yako kwa anuani zinazoonekana katika tovuti yetu au hapa hapa kwenye tovuti

yaan sikujua unataka kueleza nini -ni TABIA NCHI (Global warming) sio TABIA YA NCHI
 
Good news.
Sera hii itatupeleka airport soon tutapaa tuu.
Chamsing tuungane tuu maana penye ufa.......?????
 
Back
Top Bottom