Kwavile imezinduliwa kisiasa siasa then itakuwa ni business as usual!! Kulikuwa na sababu gani ya kujigamba kwamba "we're first in Africa" and that pamoja na kwamba Rais ameenda mikutano kibao kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi but still they(CCM) don't have policy in the matter! Sitangaa hapo baadae serikali ikija na sera ya mabadiliko ya tabia ya nchi, Mnyika ataitisha tena Press Conference na kusema "CCM walikuwa hawana sera, wameona CHADEMA tumekuja na sera ya tabia ya nchi, nao sasa wanatuiga," as if ni mashindano ya nani who acts first!! This's less productive African Politics! But all in all, chama hakina sababu za kujigamba kwa kutengeneza sera bali kinatakiwa kujigamba kwa kutekeleza sera kwa mafanikio!!CHADEMA ndio Chama cha kwanza hapa nchini na Afrika kuwa na Sera ya Mabadiliko ya Nchi. Hata serikali yetu pamoja na kuwa Rais na Viongozi wengi wa Serikali wameshashiriki mikutano mingi kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia ya nchi lakini mpaka leo Tanzania haina Sera ya kukabiliana na janga hili Alisema Mnyika.
Mh. John John Mnyika
Mh. John John Mnyika
Mnyika aliongeza kuwa Rais ameshashiriki mikutano mingi akitolea mfano mkutano wa hivi karibuni uliofanyikanchini Scotland ambapo Rais alihudhuria ukiwa ni mkutanowa 19. Mikutano hiyo inayojulikana kwa jina la CORP imekuwa ikifanyika kila mwaka katika nchi mbalimbali ambapo mwaka juzi ulifanyikia Daban Afrika Kusini, mwaka jana ulifanyikia Doha Qatar na mwaka huu umefanyikia Scotland.
Imekufa hata haijafika anzishwa manake ipo kinafiki zaidi.
hujawa kujiuliza ni kwa nini shuleni hawafundishi somo moja tu? .....hata darasa la kwanza wanafundisha hesabu, mwandiko na kusoma.Wanazuga wananchi wasiangalie demokrasia Chadema.Hatudanganyiki!
tunajua huna uwezo wa uchambuzi wa sera.lakini tunakupa nafasi nyingine utueleze contents zilizoko kishabiki
Leo tarehe 01/12/2013 Chama kimezindua rasimu ya sera mpya ya mabadiliko ya Tabia ya nchi. Akizindua Sera hiyo Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mahusiano ya Ndani wa Chama Mh. John John Mnyika (Mb) ambaye aliambata na Katibu wa Baraza la Wanawake la Chama Mh. Naomi Kaihula, Afisa wa Sera na Utafiti wa Chama Mh. Mwita Waitara pamoja na Maafisa wengine wa Chama; Mh. Mnyika amesema CHADEMA ndio taasis ya kwanza kuzindua sera hiyo hapa nchini.
CHADEMA ndio Chama cha kwanza hapa nchini na Afrika kuwa na Sera ya Mabadiliko ya Nchi. Hata serikali yetu pamoja na kuwa Rais na Viongozi wengi wa Serikali wameshashiriki mikutano mingi kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia ya nchi lakini mpaka leo Tanzania haina Sera ya kukabiliana na janga hili Alisema Mnyika.
Mh. John John Mnyika
Mh. John John Mnyika
Mnyika aliongeza kuwa Rais ameshashiriki mikutano mingi akitolea mfano mkutano wa hivi karibuni uliofanyikanchini Scotland ambapo Rais alihudhuria ukiwa ni mkutanowa 19. Mikutano hiyo inayojulikana kwa jina la CORP imekuwa ikifanyika kila mwaka katika nchi mbalimbali ambapo mwaka juzi ulifanyikia Daban Afrika Kusini, mwaka jana ulifanyikia Doha Qatar na mwaka huu umefanyikia Scotland.
Mnyika ameongeza kuwa kilichozinduliwa leo ni rasimu iliyoandaliwa baada ya kukusanya maoni kwa wadau mbalimbali wakiwemo wataalam wa mazingira na sasa kitakachofanyika ni kukusanya maoni kutoka kwa Watanzania kwa muda wa mwezi mmoja na baadae Sera kamili itazinduliwa.
Sera hiyo inapatikana katika tovuti yetu katika kipengele cha Sera za Chama. Unaweza kuisoma na kutoa maoni yako kwa anuani zinazoonekana katika tovuti yetu au hapa hapa kwenye tovuti
Msaada kidogo mheshimiwa!! Naomba unikumbushe jina la yule Sheikh ambae mwaka 2005 alitangaza hadharani kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu....!!
Halafu kumbe wakati ule CCM wanamwaga propaganda kwamba CUF ni chama cha Waislamu kumbe ilikuwa ni kuwatumia Waislamu? Aisee....nilikuwa sijafahamu!! Na leo hii CCM hao hao wanaposimama hadharani na kutangaza kwamba CHADEMA ni chama cha Wakristo na Wachaga manake ndo kwamba Wakristo na Wachaga wanatumika, au?! Ni hayo tu kwa sasa Extra-ordinary Great Thinker ndumyana.
nikiwa kama mwamazingira mwenye kusajiliwa na NEMC kama Environment auditor, na EIA expert naipongeza CDM sana kwa hili. ni hatua nzuri na yenye tija kwa nchi hasa kwa wakati huu ambapo mabadiliko ya tabia ya nchi yamekuwa na changamoto sana kwa viumbe wote.