CHADEMA yazindua Sera Mpya

Kwavile imezinduliwa kisiasa siasa then itakuwa ni business as usual!! Kulikuwa na sababu gani ya kujigamba kwamba "we're first in Africa" and that pamoja na kwamba Rais ameenda mikutano kibao kuhusu mabadiliko ya tabia ya nchi but still they(CCM) don't have policy in the matter! Sitangaa hapo baadae serikali ikija na sera ya mabadiliko ya tabia ya nchi, Mnyika ataitisha tena Press Conference na kusema "CCM walikuwa hawana sera, wameona CHADEMA tumekuja na sera ya tabia ya nchi, nao sasa wanatuiga," as if ni mashindano ya nani who acts first!! This's less productive African Politics! But all in all, chama hakina sababu za kujigamba kwa kutengeneza sera bali kinatakiwa kujigamba kwa kutekeleza sera kwa mafanikio!!

But all in all mkuu OLESAIDIMU,
Ili kuweza ku-comment chochote kuhusu hiyo sera inabidi kwanza hiyo sera watu waione, waisome, waichambue, waitafakari na kisha ndipo watoe maoni. Unfortunately, sijaiona lakini am certain nitaitafuta tu!!!
 
Last edited by a moderator:
...

....Kazi safi!! Chadema professional .....

hapa sisiemu vumbi tu.....
 
Kwenye hicho kipengele ulichosema cha Sera za Chama hakuna entry mkuu!
 
Ndio maana chadema itabaki kuwa chma mbadala cha kuwakomboa watanganyika katika shida zao.
 
Wameona kuna pesa za mabadiliko nchi zilizoandaliwa na viwanda vinavyoathiri mazingira duniani.

Kwi kwi kwi teh teh teh

Wamechelewa jamvini, karamu imeshaliwa!
 
Wanazuga wananchi wasiangalie demokrasia Chadema.Hatudanganyiki!
hujawa kujiuliza ni kwa nini shuleni hawafundishi somo moja tu? .....hata darasa la kwanza wanafundisha hesabu, mwandiko na kusoma.


 

Sera karibia zote za kilimo zilizopo ni kengeufu, haziwezi kushikamana na sera zozote mbadala, nazo zinahitaji kuwa reissued na CHADEMA.
 
Naona sasa CHADEMA wameamua kuhamisha mjadala wa kina ZITTO kabwe na kuanzisha vitu ambavyo mtekelezaji ni serikali ya CCM. Wananchi sasa hivi hawadanganyiki. hiyo sera yao ya mabadiliko ya tabia nchi wailete baadae baada ya kumalizana na kina Zitto. TUMEWASTUKIA!!!!!!!!!
 

kila la khery cdm katika kumkomboa mtanzania
 
Last edited by a moderator:
Mkuu @OLESAIDIMU

Hili tatizo ni kwangu tu au na kwa wengine... maana nikifungua hiyo webpage ya sera za chama kinachoonekana ni kama hii screen shop hapachini..

 

Mkuu wewe unaipata hiyo sera?

Maana kinachoonekana kwenye screen yangu ni

View attachment 124384

Mkuu Tumaini Makene kasma upo around hebu tuwekee hiyo sera hapa jukwaani...
 
Last edited by a moderator:
naunga mkono miakwa mia. lukosi njooo uj .....mbe kama kawaida yako kuchafuaha;hali ya hewa. sijawahkuona mhehe zuzuz kama lukosi. kweli wanyalu wanatabia za kujibembeleza kwa watu kwelii?
 
nikiwa kama mwamazingira mwenye kusajiliwa na NEMC kama Environment auditor, na EIA expert naipongeza CDM sana kwa hili. ni hatua nzuri na yenye tija kwa nchi hasa kwa wakati huu ambapo mabadiliko ya tabia ya nchi yamekuwa na changamoto sana kwa viumbe wote.

naamini kwenye sera yao basi hawatakaa kimya juu ya threatened plant and animal species, aerosols, open combustion, na environment toxicology.
 
huyuuu nae kueleweka huwa ni vigumu sana.kwan dada unalipwa sh, ngap? mbona unaonekana kama unatumika sana. auhuwa unakopwa sana?
 
Kama makafiri mnajimudu chagueni viongoz wenu ,msililie wokovu kwa mgongo wa waislam.napita tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…