CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

CHADEMA yazindua operesheni twanga kotekote

Mr. 2 Mungu akubariki ww na wote mnaojitoa kuokoa jamii yetu, naamini wakati wa ukombozi ni sasa, wakati wamabadiliko ya kweli ni sasa, wazee wa ccm waelewe kuwa sasa sikupenda chama tunapenda mambo yanaofanywa na watu waadilifu walioko chadema, kwani vyama ni vingi watenda kazi wachache wako chadema, tunawaunga mkono, kwa dhati,
Big Up mr. Two
 
Sana kua chizi kabisa! Ndiyo nini? Sasa hapo nani chizi kati yako na yeye, huyo chizi kaingia kwa Profesa na anamgaragaza, Usichukulie mtu Msanii w muziki ukaleta dharau, SUGU kwenye nyimbo zake katika ulimwengu wa muziki ametoa mistari ambayo huna hata ubavu wa kufikia na huyo unayemwita chizi ndiyo anakubalika sana na waliompa kura, sio mnakaa kujifurahisha tu na hoja nyepesi huku hujui Msomi Fisadi asiyeridhika na mtetea haki ya wengi nani ni wa maana. JARIBU KUFIKIRI KWANZA
 
CUF mna mpango gani?lol!kuolewa imekua tabu? kazi zenu zimelala au mnasubiri 2015 ndipo muwakumbuke wananchi?hamuoni CDM bungeni wamechamka,mtaani vijijini ndiyo balaa
 
ila namjua 2 proud ni wa ukweli,nawasiwasi na watu aina ya lema na wenje jamani.
sijui hawa watu wanadhani siasa itadumu kwa mahewa tu bila base na ubunifu ee,basi wao wasubiri upepo tu, iswaombei vibaya ila bado wana muda wa kujitazama na kijipima kabisa.
go go mr 2.
 
Hahahahaaha chadema mnachekesha hivi mwanachama anapatika kwa ushawishi wa Mr Two nae sana kua chizi kabisa! Kweli hiyo ni twanga pepeta!

wehu utawatambua kwa maneno yao, kwa tunaozijua harakati za Sugu hata kabla hajawa mbunge tunakuona mwehu. Tafakari upya
 
Safari hii kazi wanayo. Hata sisi hapa Dar tunaandaa yetu wakati wao wanaendelea na usanii wa kuvuana magamba yaliyokwama.
 
AWEDA, Pls ebu kama unaweza ongea na walio kwenye campain hio tafadhali,wafike na kule kwetu ileje jamani waongee na wana inchi hata masaa ma 2 tu mi, niko mbali huku ila kuna mwamko mkubwa wa wana ileje wanataka mabadiliko sema tuliweka mgombea dhaifu kdg,kwa kuanzia wanaweza wakaanzia itumba mjini pale stend,kuna watu wengi wanaitaka CDM,Wakitoka hapo waende Buswesi ambapo kwa statistic nilizo nazo kutoka kwa vijana wangu waliosimamia uchaguzi Pale Buswesi Dk Slaa alipata kula nyingi japo hakufika ileje je angefika,wanapoludi mbeya mjini njiani wasimame pale isongole masaa ma2,then izuba,msia,mbebe 2015 tunaing'oa CCM,Sept na mi nitakuja kuongeza nguvu nikichukua likizo kwa mwajiri wangu,viva twanga kote kote aluta continua
 
Nendeni bila woga, nendeni kuwahubiria ukombozi wa taifa lao, nendeni kawaambineni TZ bila CCM amani inawezekana, kawaambieni waamke kutetea taifa na rasilimali zao,nendeni kawapeni ujasiri kuwa mabadiliko hata vijijini yanawezekana na sio mijini, nendeni kawaambien kwanini mpaka leo ni maskini wakati taifa lao lina rasilimali za kutosha, nendeni kawaambieni wasikubali kupokea T-Shirts na kofia bila suruali wala sketi tena wanakosewa heshima wanatakiwa kuvaa kwa miaka mitano,nendeni kawaambieni kiongozi kwa CCM ana anza maskini akimaliza muhula wake naye ni biliionea, nendeni kawaambieni watoto wao waliosoma vyuo vikuu kwa tabu, mlo mmoja kwa siku, kupigwa na virungu na bado hawapati ajira walio pata hazina tija wakati watoto wa vigogo wanapewa kazi nonooo, nendeni kawaambieni watoto wao ni ndoto kuwa viongozi wa taifa hili kwa kuwa tuu wao hawapo katika ukwasi na sio family friends na waliopo katika ukwasi, nendeni kawaambien hatima ya nchii hii ipo mikononi mwao na wasihadaike na rusha roho na ngoma za siku moja wakati wanalia ukali wa maisha magumu, nendeni kawaelezeni safari hii wameambiwa ARI ZAIDI, KASI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI, chaguzi zijazo ni wao kuamua kupunguza kasi ya kufanywa maskini, kupunguza kasi ya kufanywa madalali wa rasilimali za taifa lao
 
twanga kotekote baba!!mbona watajivua hadi ngozi,nini gamba!big up.wadau naulizia ofisi za CDM hapa mwanza town zipo mitaa ipi?tunahitaji kadi wadau!
 
Nendeni bila woga, nendeni kuwahubiria ukombozi wa taifa lao, nendeni kawaambineni TZ bila CCM amani inawezekana, kawaambieni waamke kutetea taifa na rasilimali zao,nendeni kawapeni ujasiri kuwa mabadiliko hata vijijini yanawezekana na sio mijini, nendeni kawaambien kwanini mpaka leo ni maskini wakati taifa lao lina rasilimali za kutosha, nendeni kawaambieni wasikubali kupokea T-Shirts na kofia bila suruali wala sketi tena wanakosewa heshima wanatakiwa kuvaa kwa miaka mitano,nendeni kawaambieni kiongozi kwa CCM ana anza maskini akimaliza muhula wake naye ni biliionea, nendeni kawaambieni watoto wao waliosoma vyuo vikuu kwa tabu, mlo mmoja kwa siku, kupigwa na virungu na bado hawapati ajira walio pata hazina tija wakati watoto wa vigogo wanapewa kazi nonooo, nendeni kawaambieni watoto wao ni ndoto kuwa viongozi wa taifa hili kwa kuwa tuu wao hawapo katika ukwasi na sio family friends na waliopo katika ukwasi, nendeni kawaambien hatima ya nchii hii ipo mikononi mwao na wasihadaike na rusha roho na ngoma za siku moja wakati wanalia ukali wa maisha magumu, nendeni kawaelezeni safari hii wameambiwa ARI ZAIDI, KASI ZAIDI NA NGUVU ZAIDI, chaguzi zijazo ni wao kuamua kupunguza kasi ya kufanywa maskini, kupunguza kasi ya kufanywa madalali wa rasilimali za taifa lao

Maneno yamenigusa sana ahsante kwa ujumbe
 
mungu mkubwa, huu ni mwanzo wa maendeleo na ujenzi wa nyumba za bati kila mwanakijiji
 
Hii imekaa poa, pitia vibara wote: CCM (haya mezi/majambazi, mafisadi, mauaji, nk plz ongezea), CUF(huyu jamaa yy tu kila mwaka?), TLP(huyu anatumika kama mpira wa kiume!!), ADC (wanatafuta ajira/ ulaji) ,SAUTI YA UMMA (Rruzuku), nk
 
Hyaa Twanga Pepeta.

Makubwa haya, mmeishiwa kiasi hicho, mnanshangaza!
 
Hyaa Twanga Pepeta.

Makubwa haya, mmeishiwa kiasi hicho, mnanshangaza!

tulia Bibie tuwatekenye. Nape, Savimbi, Le Mutuz, Shonza, Mtela, Mzee Mukama, wote washatekenyeka wametulia tuli. Mods wanapagawa nimeanzisha uzi kuhoji walipo hawa watu mods wakaupiga kufuli fasta. Chadema ndo taarifa ya habari, haikwepeki.
 
Back
Top Bottom