CHADEMA Yazindua Kanda ya Zanzibar

sifa gani amewamiminia?
Akitaka kuwajua chadema chumbani na sebureni ajaribu kuutaka urais au uenyekiti wa mbowe na slaa.

Hivi amezungumziaje swala la campaign ya gongo?

Lazma inyweke tu maana kuna wakuu wa mikoa, wilaya na mawazir na hata marais wamesoweshwa kwa biashara ya gongo. Kwa hyo itaruhusiwa na tutaweka tangazo la HATARI KWA AFYA YAKO kama kwenye SIGALA
 
Kurugenzi ya Habari tuwekeeni picha basi tuone makamanda walivyojazana Zanzibar.
 
Kwa kweli CDM katika mipango Yao sijuwi nani anaplan kwasababu hizi kanda kote nchini ni sawa na boya maana Hazina kazi wala mvuto!

Wameharakia kuunda kanda wakati misingi ni total failure kabisa sasa kanda bila support ya chini ni sawa na sheikh au padre bila ya nyumba ya Ibada! Ukiwaambia wanatoa mitusi lakini huo ndio ukweli! Kwa kweli kwenye hili ni TOTAL FAILURE
 
CDM wasipokuja na plan kabambe ya kuimarisha misingi kazi yote ni ZERO! CCM wana mabalozi, mashina, matawi, kata, wilaya, mikoa na taifa!

Mabalozi, matawi na mashina yana uongozi mtiifu na imara na imekuwa ni nguzo muhimu sana kwa ustawi wa CCM lakini CDM wanaanzisha Kanda bila ya kuwa na msingi imara yaani unajenga ghorofa ati nguzo ni mabua hiyo siyo akili ni TOPE! Waache wajizuke.....
 
Katika jambo la faraja kwa CCM ni kuanzisha kanda kwa CDM maana it's like a white elephant!

Hazifanyi kazi hadi Dr Slaa au Mbowe aje katika kanda husika! Hazina ofisi,uongozi legelege, Hazina vitendea kazi yaani ni USANII mtupu!

Huo ndio ukweli mkinuna Shauri yenu maana mnapendwa sana kusifiwa kwa kila kitu!
 
hongera cdm kwa kukipeleka chama kwa wananchi. hii ndio tofauti kati ya cdm na wauza unga na meno ya tembo (ccm).
 
Back
Top Bottom