CHADEMA Yazindua Kanda ya Zanzibar

CHADEMA Yazindua Kanda ya Zanzibar

Lisu alisema cdm haiihitaji znz sasa vp leo kalamba matapishi yake
 
Tundu Lissu alishasema Zanzibar siyo muhimu kwa Chadema kulikoni tena.

Vip taharifa za Ngara juzi ulizipata ama ulikuwa Marekani na wewe?

Chadema ni msingi.
 
kwani kuwa cdm lazima tuwe marais au makatibu?kama hivyo basi kila mtz awe rais,waziri kama nchi itaeleweka?acha fitna
 
Bravo CHADEMA ukombozi wa fikra uenee kote Bara na Visiwani.
Ndiyo nguzo pekee ya UKOMBOZI kwa Watanzania wote bila kujali ITIKADI za vyama vyao vya kisiasa.Kwa wana Chadema shime tuungane sote tukiwa wenye kunia mamoja,maana saa ya ukombozi sasa imewadia. Tutofautiane kimtazamo lakini katika uhuru na uwazi pasipo kuathiri Umoja wetu ndani ya Chama,kama wengine wanavyokusudia.
CHADEMA ITADUMU KWA AJILI YA WATANZANIA WOTE.
 
Amina mkuu wangu....
 
Safi sana makamanda. Ila mibado ninauchungu sana na maeneo kama wilaya za mikoa ya tanga, pwani na morogoro chadema shambulieni maeneo haya wananchi washachoka na ccm wanahitaji tu mtu wa kuwaongoza sala ya toba wahamie chadema, dah yani hadi nahisi kulia!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom