LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,468
- 814
We shibda kwenye mitandao wakati wenzio wanapiga kazi , matokeo yake utayaona 2014 na funga kazi 2015
CCM wengi wameenda kuchukua kozi ya kubaka na kurubuni vitoto vya school.
We shibda kwenye mitandao wakati wenzio wanapiga kazi , matokeo yake utayaona 2014 na funga kazi 2015
CCM wengi wameenda kuchukua kozi ya kubaka na kurubuni vitoto vya school.
Ha ha ha!!!! umekurupuka kujibu. fuatilia aliyosema mzee baada ya kutuma benzi kwa watoto. ndugu yangu hakuna dhambi kubwa kama mtu mzima na mwelewa kama wewe kujifanya hujui. ya Saanane tuyaache. tujadili yaliyopo hapamwenye sumu ni ben saa nanane mimi na sumu wapi na wapi.
habari yenyewe inatoka gazeti la mbowe unategemea tarifa ibebe ukweli gani.
Swali langu ulipokuwa unazindua matawi ulikuwa na akili timamu? Au Zitto amekufanya uwe "awakened" kama Founder of wa dini ya ki - Buddha na kuona yale uliyokuwa unafanya ni ya kishetani.TAYADI hii kuchukuwa matofali manne, kusakafia sehem, then tunachukua lile li bendera kuchomeka na kuanza kupost picha za uzinduzi wa matawi nafaamu sana huo mchezo.
Bora msiwe na bendera ila mkawa na wanachama.
mkuu, hata wanachama si kitu sana bali jambo muhimu ni watu kukubaliana na sera zake na kukiunga mkono maan wakati wa uchaguzi kura hupigwa na wanachi yaani wanachama na wasio wanachamaChadema wakishasakafia matofali mawili na kuweka bendera wao wanaita matawi. Matawi ni wanachama sio bendera.
Pamoja na zitto?laghai ni slaa na viongozi wezake wa chadema wasiokuwa na tija kwa taifa.
utauliza vyama mpaka upasuke mwaka huuu unadhani kila mtu aliyekwenye jkuwaa hili ni mwanachama wa chama cha siasa.
Huu unafiki m2pu!... Wewe CUF ila ni jeshi la kukodiwa CCMhata kama utahangaika vipi fimbo mnazo sana tu.
Huu unafiki m2pu!... Wewe CUF ila ni jeshi la kukodiwa CCM
mkuu wewe ni mfuasi wa zitto au lema? Au chadema au ccm? Maana naona ufuasi wa watu hapa badala ya taasisi!Lema ana kesi ya kubaka, yet kaliwa witi. Hivi kwanin chadema inamuacha uyu mtu inapambana na zitto?