CHADEMA yazidi kusambaratisha CCM Ukonga.....

CHADEMA yazidi kusambaratisha CCM Ukonga.....

Huyu kuku wa kisasa naye bado anahangaika pole kuku lakini kumbuka kitanda ulichokitandika utakitandua tu kwa akili za lema,mbowe na slaa chadema kipo wazi kuwa ni chama cha kilaghai.

Tungo hii naipa masaa tuu nayo itakuwa ime-expire.....Endelea kujichekesha kwenye keyboard wakati chadema chajiimarisha zaidi..
 
kwa dhambi mlizo nazo chadema hakuna mtanzania atakayewapokea kwa sasa nyie piganeni matofari na mchakachue katiba ili mkatalie madarakani ila kwa watanzania msahau.

Hivi upo duniani kwa faida ya nani?
 
kwa dhambi mlizo nazo chadema hakuna mtanzania atakayewapokea kwa sasa nyie piganeni matofari na mchakachue katiba ili mkatalie madarakani ila kwa watanzania msahau.
Jiliwaze tu! hata utishie kunywa sumu kama Kapuya hamuachwi mwaka huu.
 
chama chenu cha kihuni na ulahgai hakiwezi kudumu hata kama mtakibeba mgongoni ni cha cha kilaghai balaa.

Mbona kwenye Ile thread ya Mbakaji Kapuya na Jangili kinana hamuonekani.......Umeamua kuja kupumulia hapa......Tunaenda na nyinyi sambamba..
 
Mbona kwenye Ile thread ya Mbakaji Kapuya na Jangili kinana hamuonekani.......Umeamua kuja kupumulia hapa......Tunaenda na nyinyi sambamba..

utawezaje kutuona wakati umevurugwa sana.
 
mwenye sumu ni ben saa nanane mimi na sumu wapi na wapi.

Ccm mwaka huu hamchomoki......Mbinu zenu zote sasa twazijuia......Wabakaji, Majangali, Wauwaji.......

R.I.P Dr. Mvungi....CCM wamekuondoa duniani kwamslahi yao......2015 dawa yao ipo tayari....
 
Back
Top Bottom