CHADEMA yazidi kusambaratisha CCM Ukonga.....

CHADEMA yazidi kusambaratisha CCM Ukonga.....

Kuwa mwehu si lazima uwe Milembe!... Umesema wewe ulikuwa mtu muhimu ndani ya CHADEMA.. Ulipokuwa unafanya hayo ulikuwa na akili timamu au ulikuwa unaongozwa na elimu ya minyoo? Grievances zako zilikuwa hizi au utetezi kwa zitto? kilichokupeleka CCM ni nini?

Daima mtu mwelevu akili safari anayoenda inaongozwa na kenge wakati yeye ni mamba lazima atajiondoa kwenye hiyo safari inayoongozwa na kenge na kuwaacha kenge waendelee kivyao.
 
Daima mtu mwelevu akili safari anayoenda inaongozwa na kenge wakati yeye ni mamba lazima atajiondoa kwenye hiyo safari inayoongozwa na kenge na kuwaacha kenge waendelee kivyao.
Mbona humwambii Zitto aondoke?
 
TAYADI hii kuchukuwa matofali manne, kusakafia sehem, then tunachukua lile li bendera kuchomeka na kuanza kupost picha za uzinduzi wa matawi nafaamu sana huo mchezo.

Bora msiwe na bendera ila mkawa na wanachama.
Huoni kuwa wewe ni BOYA linalopelekwa na upepo?
 
Aka kagazet ka tanzania daima siku hizi sikasomi tena kinaripot habari za upendeleo na udaku mwingi. ni kagazeti ka kufungia vitumbua au pweza, wengine wanachimbia dawa tz daima
wewe ni janga unampenda mwanamume mwenzio mpaka unajitesa kujichagulia cha kusoma?
 
Zitto afunguka; tofauti na Lema chanzo ni posho na matumizi ya ruzuku
Hali imekuwa tete ndani ya CHADEMA huku Zito akiweka wazi kuwa ugomvi wake na Lema umetokana na msimamo wake juu ya suala la posho na kishupalia ukaguzi wa ruzuku za vyama vya siasa. Amezidi kufunguka kupitia Radio Clouds iliyomhoji akiwa DSM Mwl Jk International Airport kuwa amemshangaa Lema kumgeuka Zito ambaye alimpokea Chadema akitokea TLP, leo hii anajifanya ni mwasisi wa CDM. Pia Zito amemshangaa Lema kwa kujiunga na wabunge wa CCM na kuamua kumshutumu Zito kutokana na suala la posho. Amezidi kukishangaa chama chake haswa mwenyekiti wa mkoa DSM kumshutumu Zito kupitia mtandao huko ni kukidhoofisha chama wakati ambapo ilitakiwa kujiimarisha tukielekea uchaguzi 2014. CDM inatakiwa kujitathmini na kuchukua hatua!

Mapenzi na CDM yameanza lini? Ndiyo maana nasema Lowasa akigombea 2015 kupitia CCM nyie wote mtahamia CUF au Zitto akigombea CDM wote mtajiunga. NI UNAFIKI MKUBWA!
 
Back
Top Bottom