Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Mtetea, wewe kazi yako ni kutaga, huku sio saizi yako
Bora anayetaga hapa kuliko nyie mnaojisaidia hapa!
Mtetea, wewe kazi yako ni kutaga, huku sio saizi yako
Kwani hao waliopo cdm ni wakenya! Tumia akili ya kichwa na sio chini ya mgongo!
Aka kagazet ka tanzania daima siku hizi sikasomi tena kinaripot habari za upendeleo na udaku mwingi.
ni kagazeti ka kufungia vitumbua au pweza, wengine wanachimbia dawa tz daima
mkuu naona unataka cdm ikununue upya.pole
Huyu kuku wa kisasa naye bado anahangaika pole kuku lakini kumbuka kitanda ulichokitandika utakitandua tu kwa akili za lema,mbowe na slaa chadema kipo wazi kuwa ni chama cha kilaghai.naona unapambana utazani umetumbukiziwa kidole povu la nini ni buku 7 ndo zinakutesa hivi........idiot
Kuwa mwehu si lazima uwe Milembe!... Umesema wewe ulikuwa mtu muhimu ndani ya CHADEMA.. Ulipokuwa unafanya hayo ulikuwa na akili timamu au ulikuwa unaongozwa na elimu ya minyoo? Grievances zako zilikuwa hizi au utetezi kwa zitto? kilichokupeleka CCM ni nini?Chadema wakishasakafia matofali mawili na kuweka bendera wao wanaita matawi. Matawi ni wanachama sio bendera.
naona unapambana utazani umetumbukiziwa kidole povu la nini ni buku 7 ndo zinakutesa hivi........idiot
Kwani hao waliopo cdm ni wakenya! Tumia akili ya kichwa na sio chini ya mgongo!
CCM umefuate sera au umemfuate JK? CDM unatafuta nini au mpaka ZITTO awe mwenyekiti.Huyu kuku wa kisasa naye bado anahangaika pole kuku lakini kumbuka kitanda ulichokitandika utakitandua tu kwa akili za lema,mbowe na slaa chadema kipo wazi kuwa ni chama cha kilaghai.
Nani atafute chama cha shetani na walaghai mlianza na shetani mtamaliza na shetani mtakoma tu.CCM umefuate sera au umemfuate JK? CDM unatafuta nini au mpaka ZITTO awe mwenyekiti.
kwani kwa akili yako unadhani walioko chadema ni watu?
Mnadhani CCM ina watu? CCM inawafuasi wa CUF wanaomsapoti JK na 2015 kurudi kwenye chama chao.R.i.p chadema
Kuwa mwehu si lazima uwe Milembe!... Umesema wewe ulikuwa mtu muhimu ndani ya CHADEMA.. Ulipokuwa unafanya hayo ulikuwa na akili timamu au ulikuwa unaongozwa na elimu ya minyoo? Grievances zako zilikuwa hizi au utetezi kwa zitto? kilichokupeleka CCM ni nini?
Mnadhani CCM ina watu? CCM inawafuasi wa CUF wanaomsapoti JK na 2015 kurudi kwenye chama chao.
Chadema wakishasakafia matofali mawili na kuweka bendera wao wanaita matawi. Matawi ni wanachama sio bendera.
Chadema ni C.C.K-chama cha kilaghi.
cc sixgates