CHADEMA Yazidi kung'ara

CHADEMA Yazidi kung'ara

Mkuu Molemo, naona umeamua kuwafariji na kuwaliza Chadema wenzako...ha haa ha.

Weka basi matokea ya Mbagala CCM wameshinda.

Weka basi na matokeo ya Monduli CCM wameshinda.

CC: chama,

kwa mtu mwenye akili CDM inakuja kwa kasi ya ajabu na ccm msipojipanga kwa siasa safi,mtambuka na zenye ueledi.2015 MTALIJUA JIJI.
 
Mkuu Mwita Maranya ongeza juhudi kule Serengeti manake naona Manchila hali si hali bali muhali!

Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi? bila shaka ulikuwa unaska tonge. Kwa Manchira kilichotokea kiliripotiwa hapa bila chenga, we nenda kule kwenye sub forum ya chaguzi ndogo uone jinsi DC na polisi walivyoshirikiana kutuhujumu.

Lakini kwakuwa 2015 tutakuwa wenyewe hakutakuwa na Gachuma wala Mirumbe basi ni hakika kuwa tutaipukutisha ccm kuanzia kwenye halmashauri hadi bungeni.
 
Last edited by a moderator:
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne
. MM
Mkuu Mungi...hilo ndilo nilikuwa natafuta, maana hapa analysis inaweza kufanyika, na bila shaka ni wazi kuwa ccm wamepoteza zaidi kuliko analysis ya bwana Nanpe
 
Mkuu Kimbunga habari za siku nyingi? bila shaka ulikuwa unaska tonge. Kwa Manchira kilichotokea kiliripotiwa hapa bila chenga, we nenda kule kwenye sub forum ya chaguzi ndogo uone jinsi DC na polisi walivyoshirikiana kutuhujumu.

Lakini kwakuwa 2015 tutakuwa wenyewe hakutakuwa na Gachuma wala Mirumbe basi ni hakika kuwa tutaipukutisha ccm kuanzia kwenye halmashauri hadi bungeni.

Mkuu ni kweli nalisaka tonge lakini linakimbia nami nakimbizana nalo ndio maana huwa sionekani hapa na matukio mengi yananipita. Ina maana Chacha Mwita Gachuma alienda kule Serengeti kuongeza nguvu?
 
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne

Na hii ndio analysis inayotakiwa. Ushindi wa 72% wa CCM ukiuangalia kwa asilimia ni mkubwa, lakini ukiuangalia kwa undani kwamba ilitakiwa avune viti vingapi, utaona kwamba wamepoteza viti vinne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom