ugolo wa bibi
JF-Expert Member
- Jul 16, 2012
- 1,305
- 302
uchambuzi ni mzuri! safi sana.....kwa alie vaa miwani ya mbao kama nape,anaweza asielewe kincho endelea....
uchambuzi ni mzuri! safi sana.....kwa alie vaa miwani ya mbao kama nape,anaweza asielewe kincho endelea....
kuna lipi jipya?
wamevaa miwani ya mbao mkuu Arushaone
Magamba siujui nani kawaroga!!! hawataki kabisa kukubali....kweli sikio la kufa...
Mkuu katika kuweka rekodi zangu sawa naomba kufahamishwa mambo mawili.
1. Hivi Iyela Mbeya ndiko Mtera Mwampamba alipokwenda na kuondoka bila hata kufika nyumbani kwao?
2. Hii ndiyo sehemu Mwigulu alipozindua suti yake inayofanana na ya mfalme Bokassa?
Ninakumbuka ilikuwa sehemu mojawapo iliyokuwa na kampeni huko Mbeya ila jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu...
People's...
Kamanda Molemo ahsante kwa analysisi. Sisi tunajua kiwango cha kukubalika kwa Chadema kinaongezeka huku kiwango cha kuporomoka kwa ccm kikiongezeka pia.
Lakini kwakuwa wanasaidiwa na policcm na tiss ndio sababu ya kuonekana bado wanapumua hadi wakati huu.
Analysis yako haiitaji ushabiki, iko na kina kirefu.
Mkuu katika kuweka rekodi zangu sawa naomba kufahamishwa mambo mawili.
1. Hivi Iyela Mbeya ndiko Mtera Mwampamba alipokwenda na kuondoka bila hata kufika nyumbani kwao?
2. Hii ndiyo sehemu Mwigulu alipozindua suti yake inayofanana na ya mfalme Bokassa?
Ninakumbuka ilikuwa sehemu mojawapo iliyokuwa na kampeni huko Mbeya ila jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu...
People's...
Vipi vyama vingine?? CUF, TLP, NCRR???
Mkuu Mungi hii kata ya Bashnet nani diwani mpya wa Chadema?yule Tara aliyehamia au kuna mwingine?
Halafu unamfaham wa dongobesh anaitwa nani?
Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM.
Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema.
Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.
Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka.
Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.
ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831
NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483
DONGOBESH-MBULU
CCM 974
CDM 1558
BASHNET-BABATI
CCM 1130
CDM 2008
IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918
IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353
MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004
STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353
NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223
GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326
TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244
MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623
MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623
RUNZEWE MASHARIKI-BUKOMBE
CCM 604
CDM 570
JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117
Mkuu Ritz
jamaa wana mwalimu mpya prof. Jay bado hajawafundisha kuhesabu!
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne