CHADEMA Yazidi kung'ara

CHADEMA Yazidi kung'ara

Asante sana kwa analysis mkuu!
Hii inaonyesha ccm inazidi kukataliwa na watanzania!

Rekebisha hapo juu mkuu;

Bashnet - Babati
Dongobesh - Mbulu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mkuu Mungi hii kata ya Bashnet nani diwani mpya wa Chadema?yule Tara aliyehamia au kuna mwingine?

Halafu unamfaham wa dongobesh anaitwa nani?
 
Matokeo tuliyoyapata toka kwenye maeneo yaliyofanya uchaguzi yanaonyesha kuwa kati ya kata 22 zilizofanya uchaguzi CCM tumeshinda kata 16 sawa na asilimia 72.72% na wenzetu wamechukua kata 6 zilizobaki sawa na asilimia 27.28%.

17/06/2013

Hebu nisaidieni hapo, Kata zilizokuwa ktk kinyang'anyiro ni 22, CCM imeshinda 16 na CHADEMA 6 (Iseke, Ifakara, Bashnet, Dongobesh, Iyela na Nyampulukano). Kulikuwa na Taarifa kwamba CCM haikusimamisha mgombea Kata ya Mnima (Mtwara) imekuwaje imeshinda? Je mgombea alipitishwa baada ya muda wa kurudisha fomu kufungwa?
((( https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/461938-ccm-kwa-mara-ya-kwanza-yakosa-mgombea-kata-ya-mnima-mtwara-vijijini-3.html)))
 
CCM Bye bye. Ukichukua matokea kwa mtu mwenye
 
Asante sana kwa analysis mkuu!
Hii inaonyesha ccm inazidi kukataliwa na watanzania!

Rekebisha hapo juu mkuu;

Bashnet - Babati
Dongobesh - Mbulu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Asante mkuu Mungi nimerekebisha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mungi hii kata ya Bashnet nani diwani mpya wa Chadema?yule Tara aliyehamia au kuna mwingine?

Halafu unamfaham wa dongobesh anaitwa nani?

Bashnet ni Tara mkuu
 
Mkuu Molemo, naona umeamua kuwafariji na kuwaliza Chadema wenzako...ha haa ha.

Weka basi matokea ya Mbagala CCM wameshinda.

Weka basi na matokeo ya Monduli CCM wameshinda.

CC: chama,

Usijali Rafiki yangu Ritz.Hii ni Tathmini ya Awali na ndiyo maana nikasema ni Kata 14 tuliyopata kura zake kwa uhakika.

Tathmini ya pili itakuja baada ya uchaguzi wa Arusha wa Kata 4 ili Idadi ya kata ziwe 26 kama Tume ilivyotangaza.
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine tumieni akili zenu...Mbagala CCM hakuwapata kura? Mondolu Sabena walipata kura ngapi? Teh teh teh.

Mkuu Ritz
jamaa wana mwalimu mpya prof. Jay bado hajawafundisha kuhesabu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu katika kuweka rekodi zangu sawa naomba kufahamishwa mambo mawili.

1. Hivi Iyela Mbeya ndiko Mtera Mwampamba alipokwenda na kuondoka bila hata kufika nyumbani kwao?
2. Hii ndiyo sehemu Mwigulu alipozindua suti yake inayofanana na ya mfalme Bokassa?

Ninakumbuka ilikuwa sehemu mojawapo iliyokuwa na kampeni huko Mbeya ila jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu...

People's...

Mdiyo penyewe mkuu Kiwi
 
Last edited by a moderator:
Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM.

Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema.

Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka.

Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.

ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831

NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483

DONGOBESH-MBULU
CCM 974
CDM 1558

BASHNET-BABATI
CCM 1130
CDM 2008

IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918

IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353

MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004

STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353

NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223

GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326

TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244

MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623

MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623

RUNZEWE MASHARIKI-BUKOMBE
CCM 604
CDM 570

JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117

Molemo umeweka analysis ya kitaalam, tuko juu, peopleOoooooos
 
Mkuu katika kuweka rekodi zangu sawa naomba kufahamishwa mambo mawili.

1. Hivi Iyela Mbeya ndiko Mtera Mwampamba alipokwenda na kuondoka bila hata kufika nyumbani kwao?
2. Hii ndiyo sehemu Mwigulu alipozindua suti yake inayofanana na ya mfalme Bokassa?

Ninakumbuka ilikuwa sehemu mojawapo iliyokuwa na kampeni huko Mbeya ila jina limenitoka. Ni hayo tu mkuu...

People's...

Haya yalifanyikia katika mji wa Vwawa ambao ni Makao makuu ya Wilaya ya Mbozi Mkoani Mbeya.
 
Makuyuni.

Chadema 364

CCM 1,664

Teh teh teh Makamanda mmesahau kuzijumlisha hizi, na za Mbagala.

Usijali Mkuu Ritz.Tutakapoweka Tathmini ya pili tutaziweka.

Hapa tumeweka matokeo yale ambayo tumethibitisha kura zake kutoka kwa wasimamizi wa uchaguzi.
 
Last edited by a moderator:
[Hata huko walikoshiinda magamba tofauti ni ndogo sana! Najiuliza, je wakiingia hawa vijana ambao 2010 walikuwa wengine 14, wengine 15, wengine 16, wengine 17 na sasa wana sifa ya kupiga kura ambapo 90[ % yao hawaipendi ccm kuliko shetani, itakuwaje!QUOTE=Molemo;6609511]Sasa ni dhahiri CCM Imezidiwa.Matokeo ya Uchaguzi wa Kata mbalimbali uliofanyika Jumapili yamepeleka kilio kikubwa CCM.

Ni kweli pia kwamba kwa Idadi ya Kata CCM imepata kata nyingi Lakini ikizidiwa kwa jumla ya kura na Chadema.

Ikumbukwe pia kuwa idadi kubwa ya wafuasi wa Chadema ambao ni vijana bado hawajaandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Ni dhahiri Chadema sasa inasambaa kama moto wa nyika na matumaini ya kukamata dola uchaguzi mkuu ujao yanazidi kuongezeka.

Yafuatayo ni matokeo ya Kata 14 tuliyoyapata mpaka sasa ambayo yanaonyesha kura za Jumla Chadema imeizidi CCM kwa kura 1859.

ISEKE-SINGIDA
CCM 791
CDM 831

NYAMPULUKANO-SENGEREMA
CCM1088
CDM 1483

DONGOBESH-MBULU
CCM 974
CDM 1558

BASHNET-BABATI
CCM 1130
CDM 2008

IYELA-MBEYA
CCM 1163
CDM 1918

IFAKARA-KILOMBERO
CCM 3723
CDM 4353

MINEPA-ULANGA
CCM 1164
CDM 1004

STESHENI-NACHINGWEA
CCM 806
CDM 353

NGANGANGE-KILOLO
CCM 600
CDM 223

GENGE-MUHEZA
CCM 347
CDM 326

TINGENI-MUHEZA
CCM 363
CDM 244

MANCHILA-SERENGETI
CCM 672
CDM 623

MASANZE-KILOSA
CCM 833
CDM 623

RUNZEWE MASHARIKI-BUKOMBE
CCM 604
CDM 570

JUMLA KUU KATA 14
CCM 14258
CDM 16117[/QUOTE]
 
CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne

Hawa CCM wamezoea kudanganya mchana na usiku mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom