CHADEMA Yazidi kung'ara

CHADEMA Yazidi kung'ara

CCM ndiyo waliopoteza zaidi, maana chadema walikuwa wanatetea kata mbili wakaongeza zingine nne. CCM walikuwa wanatetea kata 20 wakapata 16 wamepoteza nne

Magamba siujui nani kawaroga!!! hawataki kabisa kukubali....kweli sikio la kufa...
 
Molemo kazi nzuri sana hii, nami nimeamini Chadema wanakubalika sana tena sana, hivi daftari la wapiga kura lingeboleshwa hawa jamaa sijui wangejificha wapi tu! Kazi nzuri sana Chadema.
 
Makuyuni.

Chadema 364

CCM 1,664

Teh teh teh Makamanda mmesahau kuzijumlisha hizi, na za Mbagala.
 
Wakati mwingine tumieni akili zenu...Mbagala CCM hakuwapata kura? Mondolu Sabena walipata kura ngapi? Teh teh teh.

Sasa wewe mtoto mchele mchele unatumia akili gani? Kwani lazima ucomment hata kama hujui kitu?
 
Mwigulu aliona dalili za kushindwa Iyela,Mbeya ndiyo maana alikimbilia Arusha kusuka mipango ya kuharibu uchaguzi.
 
vijana wakijiansikisha itakuwaje? Au Lukuvi atakataa wasijiandikishe?
 
Du hii kali kura wameongoza chadema ila kuchukua kata wameongoza ccm yaani kama taifa stars vile mpira tucheze sie kushinda washinde wao


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wakati mwingine tumieni akili zenu...Mbagala CCM hakuwapata kura? Mondolu Sabena walipata kura ngapi? Teh teh teh.
Acha utoto ndiyo maana una mtamani ma'mdogo Rey Sii!...haya tutoke huko kwenye internal affairs tuje kwenye issue iliyopo mezani: Matokeo kwa zile kata 14 yameonesha hivyo. Graph imekuwa ikionesha kuwa CCM imekuwa ikipoteza asilimia za ushindi na kukubalika miongoni mwa watanzania toka uchaguzi wa 2005. Mfano urais CCM walikuwa na 81%; mwaka 2010 wakapata 61%. Pia CDM ambacho kiumri ni chamacha juzi juzi tu kimeonekana kuongeza asilimia za ushindi na kukubalika. Viti vya udiwani na ubunge vimekuwa vikiongezeka kila chaguzi zinapofanyika.
 
Kamanda Molemo ahsante kwa analysisi. Sisi tunajua kiwango cha kukubalika kwa Chadema kinaongezeka huku kiwango cha kuporomoka kwa ccm kikiongezeka pia.
Lakini kwakuwa wanasaidiwa na policcm na tiss ndio sababu ya kuonekana bado wanapumua hadi wakati huu.

Tulizana mkuu huo mpira unazidi kuishiwa upepo, Sijui kama 15 utaweza kuchezewa uwanjani. Nahofia usije ukaanza kuchezewa na watoto kama Kigari kwa kuwekwa mchanga na kuburuzwa.
 
nape sura lake tu!namiwani yake kakaa kigaidi sijui kwann hakamatwi?hovyooo...
 
Mkuu Molemo, naona umeamua kuwafariji na kuwaliza Chadema wenzako...ha haa ha.

Weka basi matokea ya Mbagala CCM wameshinda.

Weka basi na matokeo ya Monduli CCM wameshinda.

CC: chama,

Kwa nini usiweke na wewe? Au ni kilaza wa hesabu kama binamu yako nape?
 
Makuyuni.

Chadema 364

CCM 1,664

Teh teh teh Makamanda mmesahau kuzijumlisha hizi, na za Mbagala.

Hivi ukiwa na kata 20 ukapoteza 4 bado wajiona mshind??? Mkuu Ritz hebu tazama kwa jicho la ndani acha mahaba na chama kwenye ukweli tuseme tu kaka
 
Last edited by a moderator:
Hata km watazusha miaka mingi kiac gan kuwa cdm ni magaidi, ukweli utabaki pale pale kuwa watanganyika tumeanza kuichoka ccm na mke wake cuf na ndio maana wanatambiana huko Znzbr ila huku wanatumia polccm na tiss na kutulazmisha tuwapende majani ya mgomba.
 
Na ile kata hya pemba inahesabiwa kwa ccm? Maana nilidhani ccm imepata 15 CUF 1 na kidume 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom