Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,079
- 9,245
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Chadema hakuna wauza sembe, wangoa kucha mafisadi, matahira, wapumbavu, majangili....
Mkuu Mimibaba, hapa cjakuelewa kabisa unaweza kufafanua kidogo??? Ina maana hiyo ajali ina mkono wa mtu.
Siku sio nyingi tutakizika.
CCM sio kama CDM
huku hawaziki wanasiasa wachanga na wanaochipukia..,huku viongozi wetu
hawahodhi madaraka kama chadema.,.wanatupa fursa na tunazitumia.
Huku hatukuja kwa ajili ziara.,tumekuja kutimiza malengo yetu kisiasa
ambapo hakukupewa fursa hiyo chadema ambako kuna waroho wa madaraka na
wapenda vyeo kupindukia ambao wanahodhi kila kitu ndani ya Chama,
hawatoi nafasi kwa wanachama na viongozi wadogo kupata na kutumia fursa
za kisiasa. ni watu waroho sana na wenye chuki na roho mbaya.
CCM walimtumia vibaya huyo
mama kumgombanisha na Freeman Mbowe. CCM wasivyomjua Mungu, anatoa
majibu yasiyotarajiwa hapa hapa kwa wakati wake; ni ngumu kumeza lakini
imetokea.
Safari inaendelea watabomoka sana mwaka huu mpaka tufike tuendako atabaki mtei,slaa na mbowe kwenye chama siyo vinginevyo.
haishangazi watu wenye akili fupi kukimblia ccm! lakini pia njaa pamoja na ufupi wa akili waliyo jengewa na hiki chama cha kifisadi ndiyo kina fanya wahangaike wali wasijue wanachofanya
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Mimi, sihitaji kusaidiwa kibinadamu zaidi ya kuhitaji ulinzi wa Mungu ninapopata matatizo. Na ni mwanachama HAI WA CHADEMA.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chad
GO TO HELL; NOTHING IS COMMON.