mwagavumbi 11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,254
- 44
mfamaji hakosi kutapatapa, mtaji wa chama ni wanachama na kama wanapuputika mtaji utabaki ni majungu kwenda mbele.Hilo ni kama tone tu kati ya wale waliokwisha jitambua!! Kuna kipindi cha mwaka 2011 na 2012 ilikuwa kama mvua ya wanachama kujiunga na CDM!! CDM hatuna hofu yoyote na hao mnaowanunua kwa gharama kubwa!! Tegemeo la CDM ni kuandikisha wapiga kura hasa kwa vijana wengi ndo utaona moto moto moto!!
CCM sio kama CDM huku hawaziki wanasiasa wachanga na wanaochipukia..,huku viongozi wetu hawahodhi madaraka kama chadema.,.wanatupa fursa na tunazitumia.
Huku hatukuja kwa ajili ziara.,tumekuja kutimiza malengo yetu kisiasa ambapo hakukupewa fursa hiyo chadema ambako kuna waroho wa madaraka na wapenda vyeo kupindukia ambao wanahodhi kila kitu ndani ya Chama, hawatoi nafasi kwa wanachama na viongozi wadogo kupata na kutumia fursa za kisiasa. ni watu waroho sana na wenye chuki na roho mbaya.
Mama katibu mwenezi wa kata nae unaita pigo kubwa !!!? Wewe subiri mwakani uone kazi. Yatakupata ya Arusha. Hofu yangu ni hatima yako baada ya mwaka2015 CCM itakapokuwa imezikwa rasmi maisha yako yatakuwaje, kaa chonjo saa mbaya.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
... we July huyo jamaa ni mchumia tumbo kama wewe, angalia kauli yake eti "nilipata matatizo wakashindwa kunisaidia mpaka nikasaidiwa na ccm" unategemea mtu kama huyu atakaa chadema..!!?? sisi tunasaidia chama sio chama kugawa misaada, kwani imekuwa ccm ? yaani huyu asingetoka mwenyewe tungemtimua kama tulivyokufanya wewe...
nashukuru kwa maneno yako yenye kutia faraja.,hawa watu ni wa ajabu sana..,haya ni matatizo ya kutumia vinywaji vyenye vileo vikali kisha wanaandamana kwenye jua kali..akili zao ni za hovyo sana.
Hicho kifo ni majibu ya Mungu kwa CCM Bwana alitoa hakutwaa, CCM ndiyo iliyotwaa. Sasa tekelezeni Plan B.
Unaimiss sana Chadema? Kama ulikwenda kujiuza CHADEMA wameshakufukuza. Kwa wewe, Mwigulu Nchemba Atosha lala naye muda wote tuache tulale na bundi wetu.
mods pleaseee.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
mods hii inadhalilisha Jukwaa..,kama mnafikiri inanidhalilisha mimi tu endeleeni kuwaacha hawa watu kisha mtaona mwisho wake. Ondoeni hawa wapuuzi humu.
Hv juliana umeacha kuuza k?hata post zako inaonyesha,pamoja na familia kukukuweka chini,inaonekana kujiuza ww ni inborn!