Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.

Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Kule Kwetu mbozi mtu kama wewe huwa tunamuita zyapunga,(hamnazo)
Nimekusamehe bure ,hayo matusi yenu hayanifanyi niache kuwapa bashrafu ,tukaneni weeeeee ila hapa kwangu mwarobaini nitawanywesha tu mtake mistake
Bila haya kabisa J unaleta habari kama hii???!!!! yani sisimizi mmoja asiyejielewa kujiondoa katika njia wanayopita Tembo waloshiba na wenye mwelekeo imara alafu ushangae bado wengine pia muwapokee wanashida sana ya vijisenti vya LUMUMBA ila ukweli mtaupata 2014-2015.Hii ni zaidi ya kulala na Bundi.
CHADEMA kimepata pigo kubwa baada ya aliyekuwa Katibu Mwenezi wa chama hicho Kata ya Mkuza Abdallah Maja kuhama chama hicho na kujiunga na CCM.
Maja pamoja na wanachama wengine wa CHADEMA akiwemo Yusuph Komba walirudisha kadi za Chama hciho kwenye mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa CCM Kibaha Mjini Maulid Bundala uliofanyika Mkuza Kibondeni wilaya ya kibaha wakati wa ziara yake inayoendelea kwenye mji huo kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama.
Akizungumza mara baada ya kuhamia CCM, Maja alisema kuwa kule Chadema hakuna lolote kwani siasa zake ni za kibabaishaji. "kule hakuna lolote zaidi ya ujanja ambao hautaweza kuleta maendeleo kwa wananchi. Mimi nilipata matatizo lakini walishindwa kunisaidia hadi nikasaidiwa na CCM, nimeona kuwa chama cha ukweli ni Cha Mapinduzi pekee" Alisema Maja.
Source: Majira jumatatu septemba 30, 2013. Ukurasa wa 10:
Baada ya Habari hiyo ya kusisimua napenda kumpa pole ya dhati kabisa Mwenyekiti wa Chadema Taifa Bw. Freeman Aikaeli Mbowe kwa kufiwa na Ndugu yake Grace Aikaeli Mbowe, ambaye amefariki katika ajali ya Gari iliyotokea eneo la Kabuku Jana.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa, jina la Bwana Lihimidiwe. Pole mara mbili Mheshimiwa.
Mbona watu wengi sana wamekula fedha za madawa kule chadema lakini wamepuuza wakarudi zao kwenye vyama vyao vya asili.
Wakati mwingine maisha yanachangamoto sana,na kama hujapata washauri wazuri lazima uichukie dunia hata kama wewe ndo umeikosea.
Katika hali ya kawaida Juliana kweli miaka 2 nyuma vision yako na siasa zako zililenga siasa za kata ? Makamu Mkiti Bavicha Taifa ! Pole sana.Ushauri wa bure,acha kulazimisha status uliyoipoteza kwa tamaa za kijinga,kubali kwamba ulifanya makosa makubwa ya maamuzi hii itakusaidia kujipanga na pengine kurudi kwenye position yako lakini tayari ukiwa umekubali kujiadhibu,nje ya hapo kuendelea kusema uongo kuwa Chadema inashuka huku moyoni ukikiri kuwa inapanda unajiweka ktk mgogoro wa nafsi ambao ni mbaya kuliko aibu uliyo nayo kwa sasa.
Hahaaaaaa bwana mdogo labdaWe Mpunganyi (Hamnazo) ma..........sin>>>>>>>>>>>>>>>>>>>O kwani Uongo Huvui chupi wewe siku tu weke video wanakugegenda humu au tukadown load kwenye blog za pono? Ujue ukiwasaliti watu lazima wanakufuatilia nyendo bila wewe kujua hii dunia usikute ushategewa kamela mpaka chooni hujui,bafuni au unakofanyia shaving if any, unakazi sana so watu wakisema humu haimaanishi ni waongo
Hahaaaaaa bwana mdogo labda
hunijui vzr unadhani mm ni sawa nahao
Listen carefully,am a super ironic woman huwezi nipata popoteee ,na kama unahisi ww unaweza nakuruhusu weka hapa jf upuuzi unaosema this time am waiting
jiandae kuunganishwa na watuhumiwa wengine kwa tukio mlilofanya soweto arusha inpekta daudi amekutaja wewe na shosti ako pamoja na gaidi mkuu nchemba,
damu hii itawatafuna maCCM kuanzia kizazi cha 1 hadi cha 9.
This time u are waiting ...U think is a joke, U wait girl!!! We want to show the Word how dirty U are!!!Hahaaaaaa bwana mdogo labda
hunijui vzr unadhani mm ni sawa nahao
Listen carefully,am a super ironic woman huwezi nipata popoteee ,na kama unahisi ww unaweza nakuruhusu weka hapa jf upuuzi unaosema this time am waiting
Kwabahati mbaya huwa sipendi maneno sana ,napendelea vitendo zaidi so guys niambieni ni kituoThis time u are waiting ...U think is a joke, U wait girl!!! We want to show the Word how dirty U are!!!
Acha kudharirisha wanawake nani kakwambia mwanamke hawezi kupambana na wanume jinga zima pamoja na kufika chuo bado kimeathirika na mfumo dume..kwani yule councilor wa ujerumani si mwanamke na anpiga kazi na aliwabwaga wanaume usitumie genda kutafuta huruma , au hujasoma falsafa mwal. mzimaMimi mwanamke wa shoka ndio maana wanaume wazima mnaacha kulala nawakeshesha eti mnapambana na mwanamke mmoja nyie mpo zaidi ya 100
Hahaaaa mnaacha kujadili mada mnanijadili mm iron lady
Hahaaaa hapana chezeya mm nyie
Kwabahati mbaya huwa sipendi maneno sana ,napendelea vitendo zaidi so guys niambieni ni kituo
Kipi nikaripoti ili kama ni archuga niondoke na ndege na ndege ya asubuhi ili niwahi
Mkuu porojo nyingi hazitakiwi we niambie nikaripori kituo gani Hilo ndio la maana
Mtashindana sana ila hamtashinda.Mkuu acha unafiki na kupindisha mada... Mimi ni kijana wa Lumumba kama wewe, hivi ni nani hapa Lumumba asiyejua Mwigulu anamgonga Juliana. Pia, imefika paala hadi anamlipia Masters...