CHADEMA yawatelekeza wagombea wao Kalenga na Chalinze

Watanzania wengi masikini wanapatikana mikoa ya Kigoma,Tabora, Dodoma,Lindi,Mtwara na Pwani na kote huko ndo kuna ile dini ya mtume na wapiga kura wa magamba,mafundisho ya Muddy yameharibu akili za watu sana.
Daa!! Hivi mkiwa pale Unga Limited ndiyo mnadanganya sana.

Umeishafika Kishimundu, Karatu, Kibosho, Babati, umeishaona mtu wa Pwani au hayo maeneo ulioyataja anakwenda kutafuta maisha Rombo, Karatu, Moshi, Arusha, au nyie ndiyo mnakimbia njaa kwenu mnakuja kuchukua maisha Pwani.
 
Mimi sio mchaga tena usinihusishe na uchaga wala uchadema au uccm.
Btw wale wanafuata fursa ambazo watu wa maeneo hayo wanazo na wameshindwa kuzitumia.
 
hii habari sio ya kweli kwa sababu chanzochake hakijulikani hivyo wana jf wenzangu naomba tumpuuze tu huyu jamaa kama ana ushahidi aulete hapa jamvini ili tuujadili
 
Mimi sio mchaga tena usinihusishe na uchaga wala uchadema au uccm.
Btw wale wanafuata fursa ambazo watu wa maeneo hayo wanazo na wameshindwa kuzitumia.
Teh teh teh naona dawa imeingia.

Wewe ni mchanga na Chadema na una chuki kubwa na Waislam na Uislam.

Kama utaendelea kubisha takuletea ushahidi wa posts zako upoo!
 
Sina chuki na uislamu wala sio mwanachadema ila nina chuki na matendo ya waislamu wachache wanaotumia uislamu kuua wenzao na kuleta chuki miongoni mwetu.
Marafiki zangu wengi ni waislamu.
 
Wanaukumbi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata lawama kutoka kwa wananchi wa maeneo yaliofanyika uchaguzi mdogo wa wabunge Chalinze na Kalenga.

Habari kutoka watu wa karibu wa hao wagombea walioshindwa Grace Tendega, na Mathayo Torongey, kuwa Chama kimewatelekeza.

Wagombea hao walionekana Makao Makuu ya Chadema Kinondoni mtaa wa Ufipa wakiwa wameongozana kwa pamoja kufuatilia pesa ambazo waliambiwa watapewa na chama kwa ajili ya kulipia madeni yalitokana na kampeni zao.

Wagombea hao wamerudi mikono mitupu baada ya kukaa siku nne bila msaada wowote kutoka kwa viongozi wa Chadema.

Chadema wakati mwingine jaribuni kuwa na ubinadamu japo kidogo wasaidieni wagombea wenu kama kushindwa mmeshindwa wote na kama wangeshinda sifa zingekwenda kwa Chadema.

hivi nani amekuambia kwamba ukigombea kwenye chama ukishinda au ukishindwa unakua mali ya chama? unataka chadema iwafanyie nini? hizi akili za kiccm zimekaa king'ombe ngo'mbe huwezi kugombea alafu ukategemea baada ya uchaguzi chama kiwe kinawalipa labda ccm ndio mnafanya hivyo
 
Wanaukumbi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata lawama kutoka kwa wananchi wa maeneo yaliofanyika uchaguzi mdogo wa wabunge Chalinze na Kalenga.

Habari kutoka watu wa karibu wa hao wagombea walioshindwa Grace Tendega, na Mathayo Torongey, kuwa Chama kimewatelekeza.

Wagombea hao walionekana Makao Makuu ya Chadema Kinondoni mtaa wa Ufipa wakiwa wameongozana kwa pamoja kufuatilia pesa ambazo waliambiwa watapewa na chama kwa ajili ya kulipia madeni yalitokana na kampeni zao.

Wagombea hao wamerudi mikono mitupu baada ya kukaa siku nne bila msaada wowote kutoka kwa viongozi wa Chadema.

Chadema wakati mwingine jaribuni kuwa na ubinadamu japo kidogo wasaidieni wagombea wenu kama kushindwa mmeshindwa wote na kama wangeshinda sifa zingekwenda kwa Chadema.

Akina hawaumii kushindwa bali kukosa ruzuku.
 
Watanzania wengi masikini wanapatikana mikoa ya Kigoma,Tabora, Dodoma,Lindi,Mtwara na Pwani na kote huko ndo kuna ile dini ya mtume na wapiga kura wa magamba, Muddy kaharibu akili za watu sana.
Ndiyo maana nakuambia una chuki sana na Waislam na Uislam hapa unamkejeli na kumdhiaki Mtume wetu.

Nakuambia wazi nyie Chadema mnajisumbua bure kupambana Uislam pambaneni na CCM siyo Waislam.

Wewe mnafiki sana.
 
Hii tabia hujaiacha? Hata baada ya nchi kutulia na ilo jinamizi la udini mlileta ccm kupata kura...bado tu unaliedeleza? Be watcful..
 
Pathetic,

Who cares kama wewe ulikuwa miongoni mwa hiyo failure team or not??

Bila shaka pimbi mwenzako yericko mlikuwa nae huko si ndiyo??

Then unatarajia mkishindwa mtalalamika nini kama team yenyewe ya kampeni ni watu njaa kali kama wewe??

Si mnaweza kuuza hata kura kwa njaa zenu nyinyi,

Ok,ulikua miongoni mwa misukule kwenye hiyo team HAYA SHOW US WHAT U GAT...!!

You cant move even your own block,,Njaa...

You're just a bunch of shit! I'll never take you serious!
Nakupuuza na kukudharau siku zote.I don't care!
 
Mimi sipo JF kutafuta heshima kubwa wala ndogo wala siitaji kuheshimiwa kinafiki

Wewe umeishamuomba msamaha Zitto hauoni kama bado muombe labda utaheshimika.

Kama ulikuwa Chalinze mlipie madeni huyo mgombea.

Statement za baa hizi sina muda nazo...
 
Mimi sio mchaga tena usinihusishe na uchaga wala uchadema au uccm.
Btw wale wanafuata fursa ambazo watu wa maeneo hayo wanazo na wameshindwa kuzitumia.

Takwimu Sahihi Ni Tatizo... Dodoma C Mkoa Wenye Waislamu Wengi Kama Unavyodhani.. Dom Kuna Wilaya Takribani Sita Ni Wilaya Ya Kondoa Tuu Ndio Ina Waislam Wengi.. Mkoa Wa Kigoma Ni Vivyo Hivyo Kati Ya Wilaya Sita Waislamu Wapo Kigoma Ujiji Pekee... Iyo Lindi Na Mtwara Waislamu Wengi Utawakuta Maeneo Ya Mjini Wilayani Kuna Wamakonde & Wamakua (akina Mkapa) Ambao Wengi Wao C Waislamu Kabisa Kwa Muktadha Huu Nakushangaa Na Kukubaini Chuki, Husda, Ghilba Dhidi Ya Uislam. Mara Nyingne Ni Vizuri Ukawa Msomaji Wa Posts & Comnt Za Wenzako Kuliko Kukashifu, Kukejeli Dini Za Wa2. Waislam Wakijibu Hapa Itakuwa Wachochezi Au Watakuwa Wabaya? Kuwa Mstaarabu Ndg, Tafuta Sababu Za Kudorora Kwa Cdm Na C Kuwatupia Zigo Waislam. Namaliza Kwa Kusema Waislamu Wanaweza Kujibu Hizo Kashfa Tena Zaidi Ya Hapo Lakn Wameumbwa Na SUBIRA.. UCWACHOKOZE.
 
Mkuu Shukran na umesomeka vizuri mno!

Tuko pamoja Kaka!

Ahsanta.
 
Hivi Siyoi Sumari yuko wapi? CCM wamemtelekeza hadi amerudia ile kazi yake kule Mombasa
Tehetehe tehee umeniua kweli mtu wangu.Nalishangaa ili jamaa badala ya kumzika wafu wake yeye anahangaika na mgonjwa asiyemhusu!
 
Hii tabia hujaiacha? Hata baada ya nchi kutulia na ilo jinamizi la udini mlileta ccm kupata kura...bado tu unaliedeleza? Be watcful..

Mkuu embu kuwa objective japo kiduchu,au!? Daah!

Hapo Mkuu Ritz alikua anamjibu Mwanajamvi kilaza aka msukule aliekua anamwaga uharo wa Islamophobia bila hata ya sababu au mantik!?

Khalaf,weye unakuja hapa kifua mbele kumletea kebehi huyohuyo Mkuu Ritz!? Duuh!

Kwahiyo weye uliona sawa yule msukule alipokua anauchafua Uislam ,sio!? Au ndo mnavyofundishwa pale Ufipa!?

Acha utoto!

Ahsanta.
 
Sina chuki na uislamu wala sio mwanachadema ila nina chuki na matendo ya waislamu wachache wanaotumia uislamu kuua wenzao na kuleta chuki miongoni mwetu.
Marafiki zangu wengi ni waislamu.

Mkuu,

mbona hizi posts/statements zako zina contradictions,vipi!?

Kama hayo usemayo ni kweli...basi ni vizuri mno na ndo uungwana huo!

Lakini mbona hapahapa jamvini pana bayana zako nyangine unawabeza na kuwachafua Waislam na Mtume wao!? Daah!

Sasa,hao marafiki zako wengi wa Kiislam unaodai unao...unaishi nao kinafiki,sio!?

Ahsanta.
 
kibogo

Picha zako simenifanya niwaze sana , hivi hii inchi inaendelea au??? duh
 
Unajishushia heshima yako ndogo iliyobaki kwa kuandika uongo bila utafiti

-Kampeni za Iringa na Chalinze ziliongozwa na makamanda wa Operesheni walioteuliwa na vikao vya kamati kuu

-Mgombea hakuongoza kampeni ila alikua akiongozwa na timu za kampeni

-Sasa madeni yatatoka wapi wakati timu iliyokua ikiratibu kampeni ndio iliyokua ikisimamia masuala yote ya raslimali ?

Huo ni uongo na nilikuwepo Chalinze .Nilikua miongoni mwa watu waliokua wakiongoza kampeni.Omba radhi kwa wanaJF kwa kuandika uongo ikiwa wewe ni muungwana

Arguing with a fool people might not notice the difference.Usiandamane naye mwache aende zake kwani wamelaaniwa na kundi lao la wanyang`anyi wakijisifu wanaongoz nchi kumbe wanatuburuza
 
Back
Top Bottom