Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,908
- 46,430
- Thread starter
- #21
Kuna mtu wa kunikimbiza humu JF hizo picha zipo toka enzi za Nyerere wakati tunavaa makatambunga.Ritz Kakikimbia hawezi ku comments hizo picha hapo juu, Magamba ndiyo zao wanatafuta vitu vidogovidogo vya uongo na kuvileta huku ili watanzania wasahau shida zao zilizosababishwa na Serikali ya ccm kwa zaidi ya miaka 50.
Kwa hiyo Chadema hawana tofauti na CCM wote mnawatelekeza watu, sasa mnataka nchi ya nini.
Chadema role model wao ni CCM, Teh teh teh