CHADEMA yawatelekeza wagombea wao Kalenga na Chalinze

CHADEMA yawatelekeza wagombea wao Kalenga na Chalinze

Mkuu embu kuwa objective japo kiduchu,au!? Daah!

Hapo Mkuu Ritz alikua anamjibu Mwanajamvi kilaza aka msukule aliekua anamwaga uharo wa Islamophobia bila hata ya sababu au mantik!?

Khalaf,weye unakuja hapa kifua mbele kumletea kebehi huyohuyo Mkuu Ritz!? Duuh!

Kwahiyo weye uliona sawa yule msukule alipokua anauchafua Uislam ,sio!? Au ndo mnavyofundishwa pale Ufipa!?

Acha utoto!

Ahsanta.

duh kumtetea mumeo hujambo,ila endelea mwaya upate kusogeza angalao cku za kuishi.Eti mkuu eh mkuu ata haya huna loh!
 
Daa!! Hivi mkiwa pale Unga Limited ndiyo mnadanganya sana.

Umeishafika Kishimundu, Karatu, Kibosho, Babati, umeishaona mtu wa Pwani au hayo maeneo ulioyataja anakwenda kutafuta maisha Rombo, Karatu, Moshi, Arusha, au nyie ndiyo mnakimbia njaa kwenu mnakuja kuchukua maisha Pwani.
Eh una mahaba mabaya mbona unachuki na watu waliokataa ukoloni mamboleo?Hao unaowataja wanakuja Pwani kuwaamsha waliolala ucngizi.Huwezi kumkuta wa Pwani, si huko tu ulikotaja hata Mbeya,Kagera na kwingineko hakuna ngoma kule.Ni sawa na Mtz umkute antactica,anafuata nini huko!
 
Chadema ni sawa na Machinga,akikuuzia tu imekula kwako hajali expire date.
 
Kuna mtu wa kunikimbiza humu JF hizo picha zipo toka enzi za Nyerere wakati tunavaa makatambunga.

Kwa hiyo Chadema hawana tofauti na CCM wote mnawatelekeza watu, sasa mnataka nchi ya nini.

Chadema role model wao ni CCM, Teh teh teh

kuna hiyo ya shati lililochanika ndani kuna T-shirt ya maisha bora kwa kila mtanzania sasa sijui ni bora kweli maana hata sabuni ya kufua shirt hana
 
kuhusu picture. Haya ni maisha halisi ya mtanzania, jiulize miaka ya 60 kulikuwa na maendeleo gani ukilinganisha na sasa hivi, ndio maana ccm inapigana kufa na kupona tondoke kwenye dimbwi la umaskini. Wakati huohuo mboye amabae anasema yuko na wananchi anatumia hela zao vibaya kwa kuruka na chopa kila kona akiwaadaa pia bila aibu anatumia fedha za walipa kodi maskin kula raha na demu wake nkya dubai
 
kuna hiyo ya shati lililochanika ndani kuna T-shirt ya maisha bora kwa kila mtanzania sasa sijui ni bora kweli maana hata sabuni ya kufua shirt hana
Wewe umeona shati tu limechanika, kwa hiyo Chadema mkichukua nchi mtawanunulia nguo watanzania wote.
 
hivi nani amekuambia kwamba ukigombea kwenye chama ukishinda au ukishindwa unakua mali ya chama? unataka chadema iwafanyie nini? hizi akili za kiccm zimekaa king'ombe ngo'mbe huwezi kugombea alafu ukategemea baada ya uchaguzi chama kiwe kinawalipa labda ccm ndio mnafanya hivyo
Kamanda, hivi unajua kama wagombea walitoa pesa zao kufanyia kampeni wengine waliuza mpaka vitu vyao chama kikawambia wakishinda kitawalipa baada ya uchaguzi kinawakana.
 
Sawa mama Nepi Nnaue najua ni dalili za mimb* changa zinakusumbua. Ndio maana sitakibishana nawe.
Nasikia umerudi jana kutoka Dubai ulikuwa na Mbowe, hatari sana.

Usijali na wewe utapewa ubunge wa viti maalumu.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
Mkuu Ritz,

Yaani hii bayana yako imenihuzunisha mno! Daah!

Sasa kwanini huyo jamaa asiamue tu kurudi kwao Kenya,au!?

Maana alishatumika kisiasa,ameshafilisika kimali na labda hata kiakili...na Viongozi wa juu wa Chadema,kama kawaida yao wao ndo washavuta pesa ya ruzuku na wanakula burdan zao kwa saana tu! Daah!

Huyo Mkwavi wa Kenya asipojiangalia...basi yule Mbowe anaweza hata kuchonga deal na watu wa Immigration wamle huyo jamaa deportation!? Mimi mbowe namfahamu kiundani u-Mafioso wake!? Duuh!

Ahsanta.
Huyo jamaa wamemfirisi alikuwa na bucha zake pale Chalinze sasa yupo tu.
 
Eh una mahaba mabaya mbona unachuki na watu waliokataa ukoloni mamboleo?Hao unaowataja wanakuja Pwani kuwaamsha waliolala ucngizi.Huwezi kumkuta wa Pwani, si huko tu ulikotaja hata Mbeya,Kagera na kwingineko hakuna ngoma kule.Ni sawa na Mtz umkute antactica,anafuata nini huko!
Nani kakataa ukoloni?
 
Nani kakataa ukoloni?
Mkulu sana msifika una macho huoni ukioneshwa hutaangalia,una masikio husikii ukiambiwa utakataa kusikiliza,so why should I waste my resource on you?
 
Wewe umeona shati tu limechanika, kwa hiyo Chadema mkichukua nchi mtawanunulia nguo watanzania wote.

Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naumia sana ninapoona wananchi wanadanganywa wanaambiwa watapewa maisha bora lakini ukiangalia zama hizi wananchi hawana nguo wala hata sabuni
 
Mimi sio mwanachama wa chama chochote ila naumia sana ninapoona wananchi wanadanganywa wanaambiwa watapewa maisha bora lakini ukiangalia zama hizi wananchi hawana nguo wala hata sabuni
Hivi kuna nchi gani duniani raia wake wanapewa nguo na sabuni?
 
Nasikia umerudi jana kutoka Dubai ulikuwa na Mbowe, hatari sana.

Usijali na wewe utapewa ubunge wa viti maalumu.

Hakuna kulala mpaka kieleweke.

Mama Nepi Nnaue najua umechanganyikiwa baada ya kufumaniwa pale Lumumba mkiwa mnafanya mambo yenu. Naona unachanganya mambo usijielewe.
 
CHADEMA walidhani wanaweza kucheza na akili za watanzania wote, kumbe wengine tuna akili zetu timamu.
 
Wanaukumbi.

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata lawama kutoka kwa wananchi wa maeneo yaliofanyika uchaguzi mdogo wa wabunge Chalinze na Kalenga.

Habari kutoka watu wa karibu wa hao wagombea walioshindwa Grace Tendega, na Mathayo Torongey, kuwa Chama kimewatelekeza.

Wagombea hao walionekana Makao Makuu ya Chadema Kinondoni mtaa wa Ufipa wakiwa wameongozana kwa pamoja kufuatilia pesa ambazo waliambiwa watapewa na chama kwa ajili ya kulipia madeni yalitokana na kampeni zao.

Wagombea hao wamerudi mikono mitupu baada ya kukaa siku nne bila msaada wowote kutoka kwa viongozi wa Chadema.

Chadema wakati mwingine jaribuni kuwa na ubinadamu japo kidogo wasaidieni wagombea wenu kama kushindwa mmeshindwa wote na kama wangeshinda sifa zingekwenda kwa Chadema.
Fuatilia mambo ya chama chako ww, acha umbea mbona nyinyim mmemterekeza siame huku momba mpaka nyumba yake inapigwa mnada c mmsaidia kulipa den anarodaiwa,
 
Mbowe, Slaa na LEMA wameifilisi CHADEMA kwa kujilopesha na kutengeneza matumizi feki ambayo hayapo.
 
Back
Top Bottom