CHADEMA yawasha moto Kusini

Hao walikusanywa na upepo Wa mamvi 2015. Sasa hivi Hakuna mwanaume anaeweza kumruhusu mke wake akahudhurie mkutano Wa chadema.
 
Wana kusini wana hasira sana na chama chakavu, just imagine hao ni wana wake ambao kimsingi walikuwa waoga wa mageuzi.
Korosho awapati kura kusini,polisi wanaweza wasaidia chaguzi za marudio na sio chaguzi kuu sababu awatoshi.labda tupige kura kimafungu mafungu
 
Kama bado watu wanao dhania cdm imefutika kisiasa basi huyo yupo kwenye usingizi wa samaki pono.

Huu hapo ni mkutano wa ndani wa wana chadema mkoani lindi tarehe 19.6.2020, jambo ambalo ilikuwa ni ngumu sana kuwaona kina mama wakiipenda cdm kipindi cha kuanzia miaka ya 2015.

Mungu endelea kuipigania cdm maana wewe ndiye mpangaji wa yoote hapa duniani. View attachment 1485359
Kweli chadema imekufa mbona ukumbi wenyewe umejaa wanawake watupu
 
Ndiyo maana wanafanya figisu kuhakikisha cdm haifiki kwenye uchaguzi jambo ambalo ni ndoto za mchana
Korosho awapati kura kusini,polisi wanaweza wasaidia chaguzi za marudio na sio chaguzi kuu sababu awatoshi.labda tupige kura kimafungu mafungu
 
Sasa hv Binamu kila mwana Chadema anasisitiza Chadema haijafa na haitokufa. nyakat kama hizi 2010 na 2015 hoja ilikuwa inachukua dola au haichukui, issue ya kufa au kutokufa haikuwepo kabisa
Ni kufuatia mipango ya yesu wenu kututangazia kuwa cdm lazima ife kabla ya uchaguzi w 2020, maana anaiogopa cdm kuliko corona
 
Back
Top Bottom