CHADEMA yawasha moto Kusini

Membe leo anachukua form hapo ccm, mjiandae kisaikolojia
Kwani JPM atagombea na hiyo picha ya mikutano.? Wekeni picha ya mgombea wenu acheni kutapatapa. Vipi Membe atajiunga CDM au Lissu anafaa?
 
Kama bado watu wanao dhania CHADEMA imefutika kisiasa basi huyo yupo kwenye usingizi wa samaki pono.

Huu hapo ni mkutano wa ndani wa wana CHADEMA mkoani Lindi tarehe 19.6.2020, jambo ambalo ilikuwa ni ngumu sana kuwaona kina mama wakiipenda CHADEMA kipindi cha kuanzia miaka ya 2015.

Mungu endelea kuipigania CHADEMA maana wewe ndiye mpangaji wa yoote hapa duniani.

View attachment 1485359

Wapo kwenye maombi?.
 
Wooooo! Hii ni hatua ya juu kabisa ya Chama kufutika. Ukiona unaanza kutamani picha za zamani jua sasa hakuna kitu
 
Kama bado watu wanao dhania CHADEMA imefutika kisiasa basi huyo yupo kwenye usingizi wa samaki pono.

Huu hapo ni mkutano wa ndani wa wana CHADEMA mkoani Lindi tarehe 19.6.2020, jambo ambalo ilikuwa ni ngumu sana kuwaona kina mama wakiipenda CHADEMA kipindi cha kuanzia miaka ya 2015.

Mungu endelea kuipigania CHADEMA maana wewe ndiye mpangaji wa yoote hapa duniani.

View attachment 1485359
Sakata la Korosho litawatesa sana CCM kusini
 
Kwa kuongezea tu, huo ukumbi ulijaa mpaka watu wengine walikaa nje kufuatilia huo mkutano.

Sema hapo mpiga picha hakupiga/hakukaa kwenye angle nzuri tu, angekaa mbele ya hilo jengo angeweza kuwachukua mpaka watu walio nje ambao walishindwa kuingia ndani kutokana na uwingi wa watu.
Polisi walikuwa wamelala? Wagekuwa macho wangesambaratisha mkutano kwa kisingizio cha Korona!
 
Back
Top Bottom