CHADEMA yawasha moto Kusini

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kama bado watu wanao dhania CHADEMA imefutika kisiasa basi huyo yupo kwenye usingizi wa samaki pono.

Huu hapo ni mkutano wa ndani wa wana CHADEMA mkoani Lindi tarehe 19.6.2020, jambo ambalo ilikuwa ni ngumu sana kuwaona kina mama wakiipenda CHADEMA kipindi cha kuanzia miaka ya 2015.

Mungu endelea kuipigania CHADEMA maana wewe ndiye mpangaji wa yoote hapa duniani.

FB_IMG_1592756226736.jpeg
 
Shukrani mkuu kwa kuongeza nyama, hongereni sana wana mtama kwa kuipokea cdm kwa moyo mkunjufu
Kwa kuongezea tu, huo ukumbi ulijaa mpaka watu wengine walikaa nje kufuatilia huo mkutano.

Sema hapo mpiga picha hakupiga/hakukaa kwenye angle nzuri tu, angekaa mbele ya hilo jengo angeweza kuwachukua mpaka watu walio nje ambao walishindwa kuingia ndani kutokana na uwingi wa watu.
 
Hongereni sana kwa kufungua milango ya ukombozi wa kweli kusini mwa Tanzania
Kwa kuongezea tu, huo ukumbi ulijaa mpaka watu wengine walikaa nje kufuatilia huo mkutano.

Sema hapo mpiga picha hakupiga/hakukaa kwenye angle nzuri tu, angekaa mbele ya hilo jengo angeweza kuwachukua mpaka watu walio nje ambao walishindwa kuingia ndani kutokana na uwingi wa watu.
 
Kwa kuongezea tu, huo ukumbi ulijaa mpaka watu wengine walikaa nje kufuatilia huo mkutano.

Sema hapo mpiga picha hakupiga/hakukaa kwenye angle nzuri tu, angekaa mbele ya hilo jengo angeweza kuwachukua mpaka watu walio nje ambao walishindwa kuingia ndani kutokana na uwingi wa watu.
Tunawajua nyinyi ni watu wa mafuliko na kudeki barabara wala hatushangai.
 
Back
Top Bottom