chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 900
- Thread starter
- #21
rekebisha mi ni mwenyeji kuliko wewe, upande wa tanzania ni kijiji kinaitwa nzaza!,
sitakubishia ila naomba utuletee habari zaidi maana wewe mwenyeji zaidi
rekebisha mi ni mwenyeji kuliko wewe, upande wa tanzania ni kijiji kinaitwa nzaza!,
ngara ndio wap huko...viva chadema
ngara ndio wap huko...viva chadema
Na bado kitabaki kuwa chama cha kaskazini. Nasari aliileza nia ya Chadema vizuri sana. Viva CDM, viva rais wa kaskazini bwn NasariNape, Ritz, Rejao, Ribosome eta el kwa nini kila siku watu wanabadili Jiografia ya Tz,? CDM ni chama cha kikanda (Kaskazini mwa Tz). Please keep that spin rolling!