Chadema yatikisa iringa mjini.

Chadema yatikisa iringa mjini.

Kwa huu umati kwakweli nina kila sababu wa kuwaonea huruma ccm.

Inaniuma lakini RIP CCM
 
Mwembetogwa, Iringa mini leo. Mwenyekiti amechora mstari na kuweka msimamo wa Chama juu ya version ipi ya daftari la wapiga kura itumike. Amesema Chadema inatambua version ya 2009/2010 ambayo nayo ipo kinyume na sheria, kamwe hiyo version ya 2014 waliyonayo NEC hawatakubari itumike Kalenga kesho kutwa.
 
Hivi CHADEMA bado mnaimba habari za umati uwanjani,halafu wenzenu wanajisifia umati kwenye masanduku ya kura.
Nadhani kuna shida ya msingi hapa.
 
quote_icon.png
By Recipient
Kwa huu umati kwakweli nina kila sababu wa kuwaonea huruma ccm.

Inaniuma lakini RIP CCM

Kauli kama hizi ni dalili ya malalamiko ya kuibiwa kura! Hapo ni Iringa mjini, wapiga kura wako KALENGA.
 
Mwembetogwa, Iringa mini leo. Mwenyekiti amechora mstari na kuweka msimamo wa Chama juu ya version ipi ya daftari la wapiga kura itumike. Amesema Chadema inatambua version ya 2009/2010 ambayo nayo ipo kinyume na sheria, kamwe hiyo version ya 2014 waliyonayo NEC hawatakubari itumike Kalenga kesho kutwa.

Tume ya Uchaguzi haiendeshwi na matamko ya kwenye mikutano ya hadhara.
 
Kauli kama hizi ni dalili ya malalamiko ya kuibiwa kura! Hapo ni Iringa mjini, wapiga kura wako KALENGA.

chadema inafanya siasa kisayansi kalenga imezunguka halmashauri ya Iringa hivyo kuna wapifa kura wengi sana wanaishi/wanafanyabiashara Iringa...
 
Kauli kama hizi ni dalili ya malalamiko ya kuibiwa kura! Hapo ni Iringa mjini, wapiga kura wako KALENGA.

Umeelewa ,amesema washirikiane kulinda kura sasa wewe acha kufikiria Kama upo msalani(chooni),kalenga ccm anzen kupaki mabegi tu,chadema pipooooooz poweeeeer
 
chadema inafanya siasa kisayansi kalenga imezunguka halmashauri ya Iringa hivyo kuna wapifa kura wengi sana wanaishi/wanafanyabiashara Iringa...

Kwahiyo daftari la kura lisipotumika hilo mnalotaka mtafanyaje? Si mlikuwa mnataka daftari liboreshwe? sasa limeboreshwa 2014 hamtaki tena! CHADEMA mna maigizo ya kitoto sana.
 
ushindi kwa chadema kalenga teyari ninamuona kamanda wa anga mbowe akikomaa jukuani akiwasha moto.
 
Ninachoshukuru Mungu ni kwamba mikutano ya chadema ni kwamba watu wanakuja kwa mioyo yao na kuonesha upendo wa kweli kwa chama na kwa viongozi....ishu kubwa kwa sasa ni kuboreshwa kwa daftari la kupiga kura likiboreshwa hili na hawa watu wakajiandikisha sababu vijana wengi wameshafikia hatua ya kupiga kura tatizo kubwa ni hili daftari baada ya hapa sasa ama zetu ama zenu mtajua kilichomtoa kanga manyoya...magamba mwisho wao haupo mbali subirini kichapo kalenga huko!
 
Kama chopa itatumika katika kuzungukia vituo siku ya upigaji kura basi CCM inashindwa asubuhi. Maana hizo chopa zitasaidia kuwakumbusha watu kuwa CDM wako juu kuliko CCM.

Huu ni ubunifu wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom