Chadema yatikisa iringa mjini.

Chadema yatikisa iringa mjini.

Kama kawaida. Leo jioni kuanzia saa tisa, makamanda wa anga walitua mjini iringa wakiongozwa NA mboe, then lema, msigwa, n.k. Wamewahutubia wananchi na kuwataka siku ya j2 kujitokeza ukumbi wa siasa kusubilia na kulinda kula za kalenga.

Watu walikuwa wengi ajabu.kweli mungu yu pamoja na cdm.nawasilisha.


Viva CHADEMA
 
Pamoja sana makamanda,
kazi kwenu wana kalenga,ondoeni aibu ya kwamba hamna wanaoweza kuongoza jimbo lenu isipokuwa familia ya Mgimwa
Sisi tuliombali tunasubiri kuiona hekima yenu.
Ubunge siyo ufalme kwamba unarithishwa kwenye familia ya kifalme husika.

Mtoto wa Mgimwa hajuhi hata kiswahili Mtanzania gani hajuhi hata kiswahili vizuri?, watoto wa mafisadi. Hata pinda alikuwa mtoto wa mkulima wakati anaanza utawala, leo iko wapi?
 
Mtoto wa Mgimwa hajuhi hata kiswahili Mtanzania gani hajuhi hata kiswahili vizuri?, watoto wa mafisadi. Hata pinda alikuwa mtoto wa mkulima wakati anaanza utawala, leo iko wapi?
Ahaaaaa...kwa hiyo mtoto wa mkulima amepanda cheo na kuwa fisadi?
 
Uchaguzi upo mjini au kalenga maana bangi ni tatizo kwa CHADEMA

Are you a sister to Robert Ngalo au Ngalo advocates descendant? If yes tafadhali usiwe unamwabisha Engineer Ngalo na Ngalo advocates kila kukicha kwa post zako zisizo na kichwa wala miguu hapa JF. Unakuwaje brainwash ndani ya ukoo wa kisomi? Badilika! Andika mambo yenye mantiki kwa taifa hili ya Tanzania na si kutumikia niche institute (CCM) kiholela.


Waione Robert Ngalo na Ngalo advocates kwa ajili ya hatua zaidi ya kumrudisha binti yao (Amina Ngalo) shule ili kumnusuru na mawimbi makali ya ubumbumbu yanayomkabili.
 
Uzuri wa elimu kama hizi za uraia,wananchi wanapata nafasi ya kupambanua kati ya pumba na mchele halisi,then wanafanya maamuzi kamili.
 
Anamuwaza Joyce Mukya tu hapo wakafanye uasherati. Hana lolote huyo DJ Wa muziki liMBOWE

Hii ndio tatizo la kuwa na wanaume km mabinti!
Sasa km ulitaka akafanye huo uasherati na wewe si ungempelekea tu hilo "------" lako akakusugue sawa sawa kuliko kuleta malalamiko huku.

Vipi kina Mwigulu hawakutoshelezi tu hadi umeamua kujipendekeza kwa Mbowe,au ndio tuseme kwako imekua mazoea ya kuwa na mabwana wengi kwa wakati mmoja?
 
Kama Mangula ameenda kufanya siasa za kihuni uzeeni kalenga, atauna moto, yetu macho na masikio.
 
kila siku naawambia tulieni mpini uwaingie ongezeni chopa za kutosha lakini jimbo kwa ccm:A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom