Jaman mnakosea, cdm haitishi iringa mjin pekee bali ni tz nzima wanaielewa, sema ccm wanaona aibu kutukabidhi net iliyotobokatoboka, na tuna waambia tutaishona kwa meno na kwa kanuni za majembe 4rom cdm.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums