Mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!ila wewe ni mwisho wa upeo,huyu ana anafuu itategemea mawazo yake unamaanisha nini.......kwamba kamanda mawazo ndio mwisho wa mawazo yake na stres zake juu ya dhuruma ya magamba tanzania.....sasa si unataka tuanze rivas za maneno kujengea hoja wewe gamba dogo a.k.a kasalia kangine in work......karibu...kwa rivas
Mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!
hatari sana hii, ina maana hao Wanakwimba hawaoni maendeleo yanayooneshwa na CCM kupitia ITV,Star TV na TBC?
Mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!
Mkuu hizi habari apelekewe Mwigulu Mchemba na kina Nape, sijui wanazo taarifa au wamelala????Chama cha Mapinduzi CCM kiko katika hali mbaya katika Jimbo la Kwimba baada ya maelfu ya wanachama wake pamoja na viongozi kadhaa kuhamia CHADEMA.
CHADEMA imezoa wanachama 15000 katika mikutano mikubwa sita iliyopigwa katika kata kadhaa za wilaya hiyo.
Mikutano hiyo ilihutubiwa na kiongozi mkuu wa M4C Kanda ya Ziwa Alphonce Mawazo.Kiongozi huyo alisema wananchi wameamua kuhama kutoka kwenye siasa za CCM za Analogia na kuhamia siasa za CHADEMA za Digitali.
Wachunguzi wa kisiasa wilayani Kwimba wanasema CCM ina hali mbaya wilayani humo na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi ujao CHADEMA kuzoa ubunge na madiwani wote wilayani humo.
Source:Tanzania Daima.
Masalia mwingine huyu, tumbo linamuuma anahitaji msaada!!!!Hizi habari zimemtesa!!!HATUDANGANYIKI NG'OOO!!!! Hizi ni siasa za kizamani, za kuomba msaada kwa kelele nyingi, Wanachama waliorudisha kadi, ndio walewale watakao rudisha Blue wakati Kijani itakapofanya ziara mkoani hapo. Hayo ni yale yale ya 1995, wakati afande alipokuwa anabebwa kwenye machela akajua kura zote ni zake, mwisho wa siku wembe ukawa ni uleule!!!!!!!
Mtaishia kunawa, wakati hata wale nyuki wa mashineni 25 (wasiouma, wala kutengeneza asali, hawana hata masega (wabunge wenu)) watakapo pungua na kubaki 12. Ukuu wa kaya wenyewe kateni tamaa kabisa (2015)
Siku hizi mkuu nimeacha kuzamia kwenye TV Chanel za TBC ,ITV na nyinginezo zenye story za udaku huku nchi yetu inateketea kwa ufisadi, wenyewe wanacheka tuu!!!maendeleo yanaonyeshwa ktk tv,wahusika hawayaoni si viini macho hivyo.
Voxi populi voxi dei...
mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? Kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!
Daima na milele hiki ni kisiki cha mpingo,wakajaribu kwingine!Hawataweza mkuu wangu.
hatari sana hii, ina maana hao Wanakwimba hawaoni maendeleo yanayooneshwa na CCM kupitia ITV,Star TV na TBC?
Ni Elfu kumi na Tano mkuu devson.Na kukuthibitishia zaidi hilo kadi 5000 zilitolewa papo hapo kwenye mikutano na wanachama wengine 10000 wamejiandikisha kwenye madaftari wakisubiri kadi zifike kwani kadi wilayani zimeisha.
HATUDANGANYIKI NG'OOO!!!! Hizi ni siasa za kizamani, za kuomba msaada kwa kelele nyingi, Wanachama waliorudisha kadi, ndio walewale watakao rudisha Blue wakati Kijani itakapofanya ziara mkoani hapo. Hayo ni yale yale ya 1995, wakati afande alipokuwa anabebwa kwenye machela akajua kura zote ni zake, mwisho wa siku wembe ukawa ni uleule!!!!!!!
Mtaishia kunawa, wakati hata wale nyuki wa mashineni 25 (wasiouma, wala kutengeneza asali, hawana hata masega (wabunge wenu)) watakapo pungua na kubaki 12. Ukuu wa kaya wenyewe kateni tamaa kabisa (2015)
Mkiambiwa mnatumia akili za wake zenu kufikiri mnaanza kulalamika eti mmetukanwa, Sasa hebu angalia hapo juu kama ni akili zako ama za kuazima lumumba.