CHADEMA yateketeza CCM Kwimba

CHADEMA yateketeza CCM Kwimba

Nimefarijika sana kusoma hapa kuwa Watanzania wenzangu 15,000 wamepata ukombozi wa kifikra, sasa waje tuungane tupambane ili kujitoa ktk minyororo ya udhalimu na ukandamizaji..! Sauti ya wengi, Sauti ya Mungu.!

Voxi populi voxi dei...
 
Kamanda MAWAZO umetoka CCM kwa kazi moja tu, nayo ni kuwatumikia WATANZANIA na sio tumbo lako kama ambavyo umekuwa ukisema. MUNGU akujalie tupo pamoja ila kila mmoja na upande wake ila mwisho wake tunakutana sehmu moja nayo ni KUIWEKA PEMBENI CCM katika UTAWALA wa nchi. Ahsante MUNGU.

Mimi kamanda mawazo nilimfahamu vizuri kwenye uchaguzi wa juzi wa madiwani alipotumwa kutoka makao makuu kuja kusimamia kampeni za kata ya msalato hapa dodoma alipokuwa anatupa semina pande hizi juu ya uratibu mzima wa hili sula la uchaguzi kwenda pamoja na vuguvugu la mabadiliko yaani M4CCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCCC FOREVER
 
Huyu Kamanda ni hazina kubwa kama Lema alivyo Lulu sasa ndani ya Chadema.
 
hata hivyo mkuu wangu naomba umuombe radhi mzee arfi nakuhakikishia hana bei huyu na ni kati ya wazee wenye hekima kubwa ndani ya chadema.
ni kweli kabisa sema hawa wahuni wachache the same like masalia ndo wanataka kuwachafua viongozi wetu wenye misimamo ili wapate kutibu njaa na si kumkomboa mtz
 
HATUDANGANYIKI NG'OOO!!!! Hizi ni siasa za kizamani, za kuomba msaada kwa kelele nyingi, Wanachama waliorudisha kadi, ndio walewale watakao rudisha Blue wakati Kijani itakapofanya ziara mkoani hapo. Hayo ni yale yale ya 1995, wakati afande alipokuwa anabebwa kwenye machela akajua kura zote ni zake, mwisho wa siku wembe ukawa ni uleule!!!!!!!
Mtaishia kunawa, wakati hata wale nyuki wa mashineni 25 (wasiouma, wala kutengeneza asali, hawana hata masega (wabunge wenu)) watakapo pungua na kubaki 12. Ukuu wa kaya wenyewe kateni tamaa kabisa (2015)
 
Ccm itamfia kaka Alfani,ndo rais wa mwisho.Viva CDM
 
Akili za masalia utazijua tu.
 
huyu kamanda ni hazina kubwa kama lema alivyo lulu sasa ndani ya chadema.

mkuu molemo ukimzungumzia kamanda lema ndio unanichanganya kabisa kichwa naanza kutamani siku ziende mbio ili tuje tumpokee hapa dodoma kwa shangwe.........najua mwongozo wa spika kwake mwiko kwa wezi na wahujumu uchumi yeye si yule........... Niwataje au.... Nisiwataje.......ghafla anakumbuka hajawadhuru panya ana sahau kuwataja ,.....ghafla anakumbuka hajacha pesa za matumizi, bando kwa vigalula wake anasahau tena .....analala kesho yake anasikia lema ni mbunge......wera wera njooooooo....kamanda lama...... Njoo mlezi wa tawi letu......karibu kamanda ....bado tuko makini....hila na hofu tumevishinda............m4cccccccccccccccc forever
 
CCM has fu'cked us so much, so in 2015 is either Dr. Slaa or other cdm member apart from Masalia..!
 
Tusiishie kuwapokea tu bali tuwafuatilie ili waendelee kuwa hai
 
akili za masalia utazijua tu.

your answer is final and conclusive like the decision of the court of appeal which had been made in lema's historical case,kazi nzuri kwa waua panya hawa unavyowadhibiti
 
Hata hizo TV wamezichoka wanatak vitu live. Kwani hujui vyombo vya habari navyo hupotosha?

hatari sana hii, ina maana hao Wanakwimba hawaoni maendeleo yanayooneshwa na CCM kupitia ITV,Star TV na TBC?
 
mkuu molemo ukimzungumzia kamanda lema ndio unanichanganya kabisa kichwa naanza kutamani siku ziende mbio ili tuje tumpokee hapa dodoma kwa shangwe.........najua mwongozo wa spika kwake mwiko kwa wezi na wahujumu uchumi yeye si yule........... Niwataje au.... Nisiwataje.......ghafla anakumbuka hajawadhuru panya ana sahau kuwataja ,.....ghafla anakumbuka hajacha pesa za matumizi, bando kwa vigalula wake anasahau tena .....analala kesho yake anasikia lema ni mbunge......wera wera njooooooo....kamanda lama...... Njoo mlezi wa tawi letu......karibu kamanda ....bado tuko makini....hila na hofu tumevishinda............m4cccccccccccccccc forever

Mkuu [MENTION=48979]Chikutentema Tutamleta Lema kwa msururu wa makamanda akilindwa kama mfalme kuingia hapo Dodoma kikao kijacho cha bunge.Dodoma nzima itatetemeka.
 
your answer is final and conclusive like the decision of the court of appeal which had been made in lema's historical case,kazi nzuri kwa waua panya hawa unavyowadhibiti

Thankyou kamanda chikutentema
 
Last edited by a moderator:
hivi hapo ndio mwisho wa mawazo yako???????????

ila wewe ni mwisho wa upeo,huyu ana anafuu itategemea mawazo yake unamaanisha nini.......kwamba kamanda mawazo ndio mwisho wa mawazo yake na stres zake juu ya dhuruma ya magamba tanzania.....sasa si unataka tuanze rivas za maneno kujengea hoja wewe gamba dogo a.k.a kasalia kangine in work......karibu...kwa rivas
 
Mkuu Chikutentema Tutamleta Lema kwa msururu wa makamanda akilindwa kama mfalme kuingia hapo Dodoma kikao kijacho cha bunge.Dodoma nzima itatetemeka.

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............comeeeeeeeee..............comeeeeeee............ ulinzi kitu cha muhimu kwa waziri wetu 2015 wa mambo ya ndani atkayekomesha matumizi ya vitu vyenye ncha kali kwa watanzania come with full security kamanda lema has got no protocol in parliament pale nchi inapotafunwa comeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wowwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwww
 
ila wewe ni mwisho wa upeo,huyu ana anafuu itategemea mawazo yake unamaanisha nini.......kwamba kamanda mawazo ndio mwisho wa mawazo yake na stres zake juu ya dhuruma ya magamba tanzania.....sasa si unataka tuanze rivas za maneno kujengea hoja wewe gamba dogo a.k.a kasalia kangine in work......karibu...kwa rivas

Mkuu watahangaika na ID tofautitofauti lakini tutawajua tu.
 
Back
Top Bottom