CHADEMA yateketeza CCM Kwimba

CHADEMA yateketeza CCM Kwimba

ila wewe ni mwisho wa upeo,huyu ana anafuu itategemea mawazo yake unamaanisha nini.......kwamba kamanda mawazo ndio mwisho wa mawazo yake na stres zake juu ya dhuruma ya magamba tanzania.....sasa si unataka tuanze rivas za maneno kujengea hoja wewe gamba dogo a.k.a kasalia kangine in work......karibu...kwa rivas
Mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!
 
Mimi naona kama unajifanya huzioni vile!

Kama unamatatizo hayo, waulize viongozi wako ambao wameanza kuzitekeleza kwa kasi kwa lenngo la kuzitumia kama ngao ya ushindi 2015!.

Acheni nadharia ya "SIZITAKI MBICHI HIZI.."
 
Mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!

Masalia at work
 
Safi sana Wana-Kwimba kwa kuchagua mabadiliko sasa ni wakati wa kuhamasisha Wengine waliolala sasa,Tuelekee kwenye ukombozi wa kweli,inaleta faraja kuona watu wanaanza kujitambua na kuungana katika ukombozi wa pili wa Mtanzania
 
CHADEMA DIGITAL inatishaaaaaa!!!tupa kule hao analojia
 
Chama cha Mapinduzi CCM kiko katika hali mbaya katika Jimbo la Kwimba baada ya maelfu ya wanachama wake pamoja na viongozi kadhaa kuhamia CHADEMA.

CHADEMA imezoa wanachama 15000 katika mikutano mikubwa sita iliyopigwa katika kata kadhaa za wilaya hiyo.

Mikutano hiyo ilihutubiwa na kiongozi mkuu wa M4C Kanda ya Ziwa Alphonce Mawazo.Kiongozi huyo alisema wananchi wameamua kuhama kutoka kwenye siasa za CCM za Analogia na kuhamia siasa za CHADEMA za Digitali.

Wachunguzi wa kisiasa wilayani Kwimba wanasema CCM ina hali mbaya wilayani humo na kuna uwezekano mkubwa uchaguzi ujao CHADEMA kuzoa ubunge na madiwani wote wilayani humo.

Source:Tanzania Daima.
Mkuu hizi habari apelekewe Mwigulu Mchemba na kina Nape, sijui wanazo taarifa au wamelala????
 
HATUDANGANYIKI NG'OOO!!!! Hizi ni siasa za kizamani, za kuomba msaada kwa kelele nyingi, Wanachama waliorudisha kadi, ndio walewale watakao rudisha Blue wakati Kijani itakapofanya ziara mkoani hapo. Hayo ni yale yale ya 1995, wakati afande alipokuwa anabebwa kwenye machela akajua kura zote ni zake, mwisho wa siku wembe ukawa ni uleule!!!!!!!
Mtaishia kunawa, wakati hata wale nyuki wa mashineni 25 (wasiouma, wala kutengeneza asali, hawana hata masega (wabunge wenu)) watakapo pungua na kubaki 12. Ukuu wa kaya wenyewe kateni tamaa kabisa (2015)
Masalia mwingine huyu, tumbo linamuuma anahitaji msaada!!!!Hizi habari zimemtesa!!!

maendeleo yanaonyeshwa ktk tv,wahusika hawayaoni si viini macho hivyo.
Siku hizi mkuu nimeacha kuzamia kwenye TV Chanel za TBC ,ITV na nyinginezo zenye story za udaku huku nchi yetu inateketea kwa ufisadi, wenyewe wanacheka tuu!!!

mbona una jazba???? Ana yupi??? Kwani unategemea ujibiwe nini wakati hauleweki????? Kama hoja za chama chenu zitakuwa kwa mtindo huo, si ndiyo itakuwa moja ya maajabu ya dunia????? Unategemea wapiga kura watawaelewa na kuwapa nchi 2015?????? Kwa hoja zipi?????? Punguza jazba ujibiwe usipoelewa!!!!!

very active hii scanner imenasa kirusi kingine hiki hapa nakipondaponda.....kwisha kazi masalia hata mjomba kijijini masalia nimemwambia na anaendela kuwaelimisha wazee wenzake kirabuni ....wanapopumzika baada ya kazi nzito ya kujenga nchi yenye majizi kama wewe ...kundi dogo
 
hatari sana hii, ina maana hao Wanakwimba hawaoni maendeleo yanayooneshwa na CCM kupitia ITV,Star TV na TBC?

He mpendwa, maendeleo yapo kwenye tv au kwa wananchi. Ina maana hata kula waweza kula kupitia maonyesho ya tv?
 
Mkuu Shardcole huenda ndiyo masharti ya Sangoma waliyopewa.Kutegemea sana uchawi unajitoa utu wako.

kweli kamanda Molemo kwani si bure ni lazima viapo vya sangoma ndio vipo kazini koz haiwezekani mtu upo jeshi la ukombozi alafu usiunge mkono M4C.
ooh... My foot......!
 
Last edited by a moderator:
Ni Elfu kumi na Tano mkuu devson.Na kukuthibitishia zaidi hilo kadi 5000 zilitolewa papo hapo kwenye mikutano na wanachama wengine 10000 wamejiandikisha kwenye madaftari wakisubiri kadi zifike kwani kadi wilayani zimeisha.

this is 'bad' news!
 
Last edited by a moderator:
HATUDANGANYIKI NG'OOO!!!! Hizi ni siasa za kizamani, za kuomba msaada kwa kelele nyingi, Wanachama waliorudisha kadi, ndio walewale watakao rudisha Blue wakati Kijani itakapofanya ziara mkoani hapo. Hayo ni yale yale ya 1995, wakati afande alipokuwa anabebwa kwenye machela akajua kura zote ni zake, mwisho wa siku wembe ukawa ni uleule!!!!!!!
Mtaishia kunawa, wakati hata wale nyuki wa mashineni 25 (wasiouma, wala kutengeneza asali, hawana hata masega (wabunge wenu)) watakapo pungua na kubaki 12. Ukuu wa kaya wenyewe kateni tamaa kabisa (2015)

Mkiambiwa mnatumia akili za wake zenu kufikiri mnaanza kulalamika eti mmetukanwa, Sasa hebu angalia hapo juu kama ni akili zako ama za kuazima lumumba.
 
Mkiambiwa mnatumia akili za wake zenu kufikiri mnaanza kulalamika eti mmetukanwa, Sasa hebu angalia hapo juu kama ni akili zako ama za kuazima lumumba.

Kwani ninyi mnatumia akili za waume zenu???? :A S 11: :target:
 
Back
Top Bottom