- Thread starter
- #21
Mkuu Molemo,
Mwaka 2010 nilienda Kyela baada ya uchauzi Mkuu, nilikuta watu bado wana imani sana na CCM.
Lakini habari nilizopata hivi karibuni, ni kwamba uchaguzi wa kujaza nafasi za uwakilishi ngazi za vijiji na vitongoji huko Kyela, kimeonyesha mabadiliko ya kasi ya ajabu.
Pamoja na mizengwe na rafu za CCM, CHADEMA imezoa vijiji vitano kati ya 13 vilivyogombaniwa, na vitongoji 11 kati ya 61 vilivuogombaniwa. Hii kwangu ni mafanikio ya Kimbunga katika wilaya ambayo miaka miwili iliyopita ilikuwa ni aibu kujiita mpinzani.
Hivyo, mwaka 2013, kama CHADEMA itasimama imara na kuwafukuziloa mbali wale Masalia wanaolipwa na Magamba , 2014 itakuwa turning point ya CCM kizikwa rasimi!
Tumwombw Mungu CHADEMA waisambaratishe CCM iliyomo ndani ya CHADEMA ikiongozwa na kina SHibuda, Zitto na kwa mbali ARFI
Mkuu wangu Nyumbu umeongea kweli.Nakumbuka hata uchaguzi mkuu uliopita kauli mbiu ya wanaKyela ilikuwa urais Dr Slaa,ubunge Dr Mwakyembe.Kyela walikuwa wanamheshimu Dr Slaa tu na si Chadema.Leo Chadema imepenya kila kona ya Mbeya.Kazi aifanyayo Sugu si ya kubeza
Hata hivyo mkuu wangu naomba umuombe Radhi Mzee Arfi nakuhakikishia hana bei huyu na ni kati ya wazee wenye hekima kubwa ndani ya Chadema.
Last edited by a moderator: