- Thread starter
- #81
...tupia na ka-tafasiri kake mkuu...
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu mkuu wangu.
...tupia na ka-tafasiri kake mkuu...
Napata wasiwasi wangekuwa wanjiandikisha kwenye dafutari la kudumu la chadema pamoja na namba zao za simu ilikuwatambuwa walipo, ni vema kuwa na database ya wanachama wa CDM.Ni Elfu kumi na Tano mkuu devson.Na kukuthibitishia zaidi hilo kadi 5000 zilitolewa papo hapo kwenye mikutano na wanachama wengine 10000 wamejiandikisha kwenye madaftari wakisubiri kadi zifike kwani kadi wilayani zimeisha.
Napata wasiwasi wangekuwa wanjiandikisha kwenye dafutari la kudumu la chadema pamoja na namba zao za simu ilikuwatambuwa walipo, ni vema kuwa na database ya wanachama wa CDM.
Hivi hawa watu hawakusikia kuwa Dr. Slaa anamiliki kadi?
Tulidhani tumemaliza nguvu ya CDM kwa hoja ya kadi ya Dr. Slaa!
hatari sana hii, ina maana hao Wanakwimba hawaoni maendeleo yanayooneshwa na CCM kupitia ITV,Star TV na TBC?
Wapendaje kulisikia hili wakati wamehongwa wakivuluge chama!!
Mkuu ukitaka kuwatawala watu milele wanyime elimu!Hiv wamehongwa tu au na kulogwa?
Mkuu ukitaka kuwatawala watu milele wanyime elimu!
Ndiyo maana bado wanaendelea kupata ushindi wa kishindo maeneo ya vijijini!Hilo CCM wanalijua vizuri mno!
but i doubt hizo figure hapo juu, 1500 or 15000?
hizi headline humu uwa zinaandikwa na wana propaganda wa kizamani sana....kugaragaza, kuchanachana, kuteketeza, etc inapofika uchaguzi kama ule wa juzi juzi wa madiwani hatuoni hizi headlines...hao wapiga kura wanaohama uwa wanapigaje kura zao sasa au ni mbwembwe za mikutano maana yake wilayani huko hakuna viburudisho vingi na hivyo mikutano ya hadhara ni moja ya viburudisho vyao hao wananchi na maamuzi yao yanakuaga short lived-adreanline induced, (kutokana na burudani na siyo vinginevyo) yasiyokua na athari zozote siku sober ya kupiga kura inapowadia.....pole sana CDM
na namba nafikiri ni 1500, 15,000 is untainable ndani ya wilaya hata kubwa kama Temeke