CHADEMA yateka Dodoma

CHADEMA yateka Dodoma

kama dodm wameamka hata dar wataamka maana dar nako kunahtaj maombi na dua maana jamaa hatuon mikakat yao
 
Enzi zile za Regia Mtema( mungu amlaze pema) saiv tungeishapata mapicha mda sana...wengine hawa duh...kila mtu na lake hawaleti picha sijuim vipi hawa jamaa wabunge wa cdm
 
CDM always in action and now in take off


Ukombozi huoooooo!
 
Wa jameni picha hizo ni muhimu sana kwetu! Please fanyeni linalowezekana tuzipate wadau wa mabadiliko>
 
Nafarijika kusikia na Dom nako kuna mwamko, labda niwakumbushe tu magamba kuwa there's a wind of change blowing no one can stop it.

Enyi magamba jitengenezeeni mazingira mazuri ya kuisha pindi mtakapo ondolewa madarakani badala ya kujichimbia kaburi kama mfanyavyo sasa.
PEOPLES...... POWER......
 
bado Mtwara, Lindi,Tanga, Pwani........

Mkuu Crashwise, mikoa hiyo ni kaazi kweli kweli sijui ni sababu wanapalilia Mikorosho kwa moto hawana uchungu na haki zao? waache kwanza mpaka watapoanza kujitambua.
 
Back
Top Bottom