Man selector
New Member
- Mar 20, 2012
- 3
- 1
Nilikuwepo mkutanoni dah! Cdm wajiandae kuchukua dola dodoma wagogo tumeamka
Yani wewe uko na akili sana nimekusifu sana na hata mimi nilishawai kuwaza hici kitu kuwa chadema ikishika nchi ni rahisi cuf kuingia ikulu zanzibar"NIPE NIKUPE"
Mimi mzanzibar lakini nitaipigia kura chadema 2015 kwa rais wa muungano ili tuing'oe ccm, kwa sababu kuiondoa ccm bara ni njia nyeupe kwa CUF ZANZIBAR kuingia IKULU.
Kama kweli itathibitika dodoma chadema imepata mapokezi makubwa, basi itakuwa ni ujumbe mwengine kuwa SIKU ZA CCM KUIONGOZA TANZANIA ZINAHESABIKA.
Ni ukweli usiofichika kuwa wazanzibar wengi hawaipendi chadema lakini ninaamini kama viongozi wa chadema watakuwa na mkakati imara wanaweza kuzipata kirahisi kura za urais wa muungano kutokana na ukweli kuwa CUF wanaimani ushindi wa chadema bara utawasafishia njia ya kuingia ikulu kwa vile hakutokuwa na utumikaji wa MABAVU kutoka viongozi wakuu wa magamba kutoka bara.
chadema mumeonesha njia endelezeni mapambano, hivi sasa hapa zenj wana ccm wengi wameanza kuingiwa na hofu kuwa nani atawalinda uchaguzi wa 2015 ikiwa ccm bara itaangushwa?
viva chadema, people power.................