CHADEMA yateka Dodoma

CHADEMA yateka Dodoma

Mkekuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
1,237
Reaction score
176
Ebena ni noma,tumezoea kuona umati mkubwa kama huu,ktk mikutano ya dini.na kiaina sana tena kwa kuletwa na maroli,mabasi,na kupewa nauli ya kurudia kwa wale wanaitwa wa magamba.ila leo kuna kina dalili dom hawalali tena mpaka kieleweke.
 
upload picha fasta mkuu, c unajua Wadanganyika tulivyo na hamu kuona saa ukombozi inavyokaribia!
 
"NIPE NIKUPE"
Mimi mzanzibar lakini nitaipigia kura chadema 2015 kwa rais wa muungano ili tuing'oe ccm, kwa sababu kuiondoa ccm bara ni njia nyeupe kwa CUF ZANZIBAR kuingia IKULU.
Kama kweli itathibitika dodoma chadema imepata mapokezi makubwa, basi itakuwa ni ujumbe mwengine kuwa SIKU ZA CCM KUIONGOZA TANZANIA ZINAHESABIKA.

Ni ukweli usiofichika kuwa wazanzibar wengi hawaipendi chadema lakini ninaamini kama viongozi wa chadema watakuwa na mkakati imara wanaweza kuzipata kirahisi kura za urais wa muungano kutokana na ukweli kuwa CUF wanaimani ushindi wa chadema bara utawasafishia njia ya kuingia ikulu kwa vile hakutokuwa na utumikaji wa MABAVU kutoka viongozi wakuu wa magamba kutoka bara.

chadema mumeonesha njia endelezeni mapambano, hivi sasa hapa zenj wana ccm wengi wameanza kuingiwa na hofu kuwa nani atawalinda uchaguzi wa 2015 ikiwa ccm bara itaangushwa?

viva chadema, people power.................
 
Wewe una akili sana, kwa pamoja tutaiangusha ccm, cuf ikiingia ikulu zenji magamba tumeshawzmwaga, na tanzania itaendelea.
 
Magamba wanataka watumie picha za msiba wa kanumba Kama ni moja ya Mikutano Yao ndio maana hawachelewi kusema msiba oyeeeee!!!!!!!
 
Mlacha wa Udom kaumbuliwa leo hapa dodoma na chadmea..jamani najaribu ku-upload picha inagoma khaaaa....ila panahappen ile mbaya.
 
Back
Top Bottom