CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

kilichobaki ni kumkamata na kumpima kama ni mzima humo kichwani isijekuwa tuna deal na mtu anayehitaji matibabu halafu hatujui tunapoteza muda wetu bure
 
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.

Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza

kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?

Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?

buku 7 yko usubir kidogo,cheq haijatoka....azwaiz tulia dawa ifanye kazi, cha kutokwa povu....
 
sombetini ni kata ya CHADEMA hata kama tukilala nakuacha kulinda kura.
 
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO(CHADEMA)
H/SE NO 8.NHC STREET
NGARENARO
www.Chadema.or.tz
TAARIFA KWA UMMA
Tunachukua fursa hii kuujulisha umma wa Arusha na Tanzania kwa ujumla kuwa maandamano yetu ya amani yaliyokuwa yafanyike Feb 5 yameahirishwa hadi hapo tutakapotangaza tena,
Hata hivyo tunawashukuru sana umma wa Arusha kwa utayari wao wa kupinga Ukandamizaji,dhuluma,na ukiukwaji wa haki za msingi za binadamu.Tunauhakikishia umma kuwa CHADEMA tutaendelea kuwa msitari mbele katika mapambano haya hadi kieleweke.Tunauhakikishia umma wa sombetini na Arusha na Tanzania kwa ujumla kuwa vikosi vyetu vya B 52,Qx Mapambano,Mandela scorpion,Guerila 40,El Che889,Lenin 34PH,na Mama Haki,vimekamilisha maandalizi kabambe kwa ajili ya Sombetini ili kulinda ushindi wetu ambao ni wa 95%+.Kamwe hatutavumilia hujuma yoyote kutoka kwa yeyote.
CHADEMA tupo imara sana,tulianza na Mungu tutamaliza na Mungu

Nanyaro EJ
Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Arusha mjini
 
hayo maandamano haramu ya lema na wahuni wenzake yamepigwa marufuku na jeshi la polisi, ucha upotoshaji
 
mkwara bubu huu, vikosi vya kuiwaji hivyo ndio mana maandamano haramu yamepigwa marufuku, wahuni nyie
 
Msuki
Today 07:11
#1 Senior Member Array

Join Date : 29th December 2013
Posts : 116
Rep Power : 15852
Likes Received16
Likes Given0

[h=2]
icon1.png
Habari: Lema apigwa stop kuongoza maandamano ya "uporaji, mali, za raia, arusha leo"[/h] Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.

Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza

kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?

Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?
 
Tuko pamoja makamanda! Ushindi SOMBETINI ni wetu.
 
Hao vibaka wenzako taarifa za kuandamana kwa ajili ya kupora mali za wananchi uliwapa huku jf ili sasahivi utangaze humu yamepigwa stop?? Hawaijui jf nenda kawatafute kule soko kuu na unga ltd uwape taarifa mapema, tena umechelewa.
 
Wewe unapaswa kupelekwa mirembe kwa lazima
 
CHADEMA semeni ukweli,Maandamano yamepigwa stop na POLISI.
 
chadema sasa inaelekea wapi? nisha poteza imani nayo:thumbdown:
 
Back
Top Bottom