Hicho ndio kipaumbele, mengine ni visingizio tuKwenye maandamano kama hayo naskia huwa ndani yake pia anaongoza kabaang?!
Na wewe ni mwanambilimbi?!
Semeni yoote enyi wana-LUMUMBA, na msidharau wananchi wa Arusha na maamuyi yao na nakuapieni msema kweli ni sanduku halali la mpiga kura ndiko ukweli ulipo. CCM Arusha ni chama cha upinzani. Ndivyo ilivyo kwani baada ya 4-0 sasa ni 1-0..
Gongo inaongea hapa sio wewe. Katika kata 27 nyie mtapata ngapi?Semeni yoote enyi wana-LUMUMBA, na msidharau wananchi wa Arusha na maamuyi yao na nakuapieni msema kweli ni sanduku halali la mpiga kura ndiko ukweli ulipo. CCM Arusha ni chama cha upinzani. Ndivyo ilivyo kwani baada ya 4-0 sasa ni 1-0..
Wabejasana umeufunga rasmi mjadala huu, haya wale wa gongo waende wakanywe na sisi wachapa kazi tunaenda kulijenga taifaWe mwanamke umeshachoka saivi huna nyimbo tena,umezeeka hadi maini!!
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge
tuandamane, tusiandamane ile kata inakwenda chadema..
Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.
Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza
kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?
Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?
Naskia na yale mambo ya unga unga wa sembe pia ni mdau mkubwa sana?!
lema ni janga la taifa. anataka maandamano ili wafanye uporaji kwa raia na wahuni wenzake ...hivi hamna kitu chochote anachoweza kuwafanyia wana arusha zaidi ya maandamano? arusha kweli wana hasara hawana mbunge
Bora ya Lema kuliko Mkuu wa Kaya
Semeni yoote enyi wana-LUMUMBA, na msidharau wananchi wa Arusha na maamuyi yao na nakuapieni msema kweli ni sanduku halali la mpiga kura ndiko ukweli ulipo. CCM Arusha ni chama cha upinzani. Ndivyo ilivyo kwani baada ya 4-0 sasa ni 1-0..
Nyumbu wa Lumumba wamehamia huku kujifariji...
wewe kwanini ujiunge huku kwa waelewa kama uelewa wako mdogo. IQ yako ipo below zero nikuwekee picha?
Hueleweki.
Povu za nini we Mbulumundu?
Hueleweki unanukuu, unaripoti, au unaongelea nafsi ya pili.
Muwe mnapewa semina ya kuandika mtandaoni ili mueleweke.