Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,385
.Tunauhakikishia umma wa sombetini na Arusha na Tanzania kwa ujumla kuwa vikosi vyetu vya B 52,Qx Mapambano,Mandela scorpion,Guerila 40,El Che889,Lenin 34PH,na Mama Haki,vimekamilisha maandalizi kabambe kwa ajili ya Sombetini ili kulinda ushindi wetu ambao ni wa 95%+.
Ndio makamanda naviaminia vikosi vyenu hivi, hakikisheni watu hawatoki kwenda kupiga kura. Polisi wa Arusha ndio walezi wa vikundi hivi kwa hiyo ushindi lazima.