CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

CHADEMA yasitisha maandamano-Arusha

Baada ya kutangaza maandamano na wafuasi wake maana tunajua hawana wanachama, serikali yayapiga stop maandamano hayo yenye lengo lilofunikwa la kupora mali za raia.

Tumekuwa tukishuhudia kila yanapotokea maandamano; wapo watu wanaopata hasara kubwa kwa kuporwa na waandamanaji, kupoteza mali n.k. Kikubwa kinachotokea ni uporaji hasa maeneo yafuatayo; bar, hotelini, maduka, vibandani, wapo pia wanaoporwa mikoba, pochi, walet, simu na vitu vingine vya thamani na waandamanaji ndio maana wanajitokeza kwa wingi maana ni siku yao ya kutengeneza

kama chadema wameshaona dalili za kushindwa huo uchaguzi ni vema wakajipanga upya maana bado kuna chaguz kibao zinakuja. Yanini kutumia vurugu kama timu ambayo imeshafungwa inavuruga mchezo?

Na kama chadema wanaamini askari wengi wanawaunga mkono kwanini wasiheshimu kazi yao ya uaskari?

Lema Jambazi.
 
Huu 'UPORAJI'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.Mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasonga

Ni kweli kamanda wote wale wenye kupoteza mali zao huwa wanatoa kwa hiyari kuchangia M4C, dada yangu alichangia laptop siku ile Lema alipoamua kutembea na makamanda kutoka mahakamani. Na wageni kadhaa huchangia saa, simu zao na akina dada pochi zao wakati wa maandamano yanayochochea amani na maendeleo jiji letu tulivu la Arusha.
 
huu 'uporaji'ni siasa majitaka..hakuna mtu aliyewahi kudai kuporwa ktk maandamano ya cdm.mizigo endeleeni na manenu yenu sie twasonga

ungekuwa unaishi arusha hungehitaji kusema haya, ina maana huna hata rafiki anayeishi arusha? Au wewe ni miongoni mwa waporaji?
 
ccm wameshaishiwa sera vp ile ishu ya kapuya kubaka imeishia wapi ndo kazi ya ccm
 
Mzimu wa mwigamba unaitafuna chadema arusha....lazima wajute
 
Back
Top Bottom