Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Haya, Andamaneni sasa muone mziki wake!
Usijali tunasubiri siku iwadie tuanze maandamano
Haya, Andamaneni sasa muone mziki wake!
CHADEMA semeni ukweli,Maandamano yamepigwa stop na POLISI.
CHADEMA inaweza kushinda katika hiyo kata lakini unapokuja na takwimu za namba kama hizo, hata andiko lako linaitingishwa na mantiki ya hoja nzima.Tunauhakikishia umma wa sombetini na Arusha na Tanzania kwa ujumla kuwa vikosi vyetu vya B 52,Qx Mapambano,Mandela scorpion,Guerila 40,El Che889,Lenin 34PH,na Mama Haki,vimekamilisha maandalizi kabambe kwa ajili ya Sombetini ili kulinda ushindi wetu ambao ni wa 95%+.Kamwe hatutavumilia hujuma yoyote kutoka kwa yeyote.
Maandamano ni haki ya kila raia wa Tanzania, soma katiba ya nchi hii wewe punguani

CHADEMA inaweza kushinda katika hiyo kata lakini unapokuja na takwimu za namba kama hizo, hata andiko lako linaitingishwa na mantiki ya hoja nzima.
Hizo figure tulikuwa tunazipata kipindi cha utawala wa chama kimoja na hata siyo kwa wagombea wote.
Hata Mwl. Nyerere ambaye mpinzani wake alikuwa ni kivuli, lakini hakuweza mara nyingi kupata zaidi 95% ya kura zilizopigwa.
It's too good to be true!.
Haya bana, yetu macho na masikio.
Hakuna haki ya Raia kidemokrasia isiyokuwa na mipaka na ndiyo maana kukawepo nchini na law enforcement agencies.Maandamano ni haki ya kila raia wa Tanzania, soma katiba ya nchi hii wewe punguani
26.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kufuata na kutii Katiba hii na sheria za Jamhuri ya Muungano.
(2) Kila mtu ana haki, kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria, kuchukua hatua za kisheria kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.
Chadema nimpango wa Mungu
Kauli yako ninaiona kama vile hauko serious na kama utakuwa serious basi labda huelewi au unajifunza siasa za Tanzania.Hatubahatishi tunamaanisha
Kauli yako ninaiona kama vile hauko serious na kama utakuwa serious basi labda huelewi au unajifunza siasa za Tanzania.
Tutakutana hapa tarehe 9th Feb kama CHADEMA itakuwa imeshinda zaidi ya 95+ of the votes counted.
Mind you, sijasema kama CHADEMA hawatashinda, bali ninasema hawatashinda kwa asilimia hii unayotaka kuniaminisha.
Leo Chadema wamesitisha maandamano baada ya kutokuelewana jana usiku kwenye kikao chao cha ndani ambacho alimanusura mbunge na mgombea wa udiwani sombetini wazipige
Baada ya lema kumtuhumu kuwadanganya kuwa anakubalika na vijana sombetini ilihali halisiyo ilivyo vijana hawaonekani kwenye mikutano ya Chadema bali ccm
Vijana wa desembar wamegoma kushiriki maandamano philipsi wamegoma kilombero wote hao ni baada ya lema kushindwa kuwasaidia kila wanalolipanga
Mmoja alifoka kwakutukana kuwa wewe umejenga ghorofa njiro sisi hatuna kitu nakila mara unatuchora kuwa tukiandamana kitaeleweka
Diwani wa Elerai mzee mpinga alitoa wazo la kuhairisha maandamano ilichama kijipange upya nakuwaomba hao vijana waache jasba na waendeleze urafiki wao na mbunge