CHADEMA yashindwa vibaya Arusha

Kwani 2010 katika kura za Urais Kikwete alipata kura ngapi kati ya zilizopigwa na ukilinganisha na Waliojiandikisha basi utaona hajapata zaidi ya asilimia 25 ya Waliojiandika. Wengine leteni hoja za maana wacheni U-Pinda
 
Wewe na hoja ya hamna mashiko, kajitafakari upya au ni saum?
 


Loading.................please wait...............
 
Hongera wewe maana umekuwa wakwanza kufufuka baada ya jana kuzirai! Wenzio bado wako dunia nyingine. Ndo maana umeamka na ndoto ambayo hata mwenzio Magimbi kabla hazazirahi aliiota na tukamjibu hivi:

Mods: Moderator na Paw uzi huu hauna tofauti na huu Ninachojifunza uchaguzi wa Arusha kwa faida ya walioshindwa
 
Last edited by a moderator:
Huo udhauri kaa nao
 
2015 watapiga wote na majina yaliyofutwa mpaka picha nyingine hazionekani, zitaonekana tu. Just wait and see
 

Vipi umesha maliza maelezo yako??? Mi napita tu ila nilikushangaa maneno yako. Kifupi ni kwamba ni CCM hao hao wamesababisha hao 54,000 wa Chadema wasijitokeze kisa bunduki bastola na mabomu ya CCM kupitia AmiriJeshi wa Green Guarrs Mwigulu Nchemba
this is very serious.
nafikiri vyama vya siasa havin makosa ila elimu ya uraia na utayari wa mtu binafsi ni tatizo. siku moja nilikuwa mahali pakatakiwa kitambulsho nikaulizwa cha mpiga kura nikasema sina ninacho cha kazini. mtu mmoja akaniuliza wewe kweli huna kitambulisho cha mpiga kura?? nikamjibu sijawah hata kusajiliwa kwenye daftari la mpiga kura. mm nikamuuliza wewe mwenzangu unacho huwa unapiga kura?? akanijibu hiki ni kwasababu ya utambulisho tu lakin si kwamba napigaga kura sijawah kupiga kura toka nikipate hiki kitambulisho. sasa imagine scenario kama hii je HAPA KUNA HAJA Ya KUMLAUMU MTU BAKI??
 
Matumizi ya mipira kwa mujibu wa wataalam ni mpira mmoja kwa mchezo mmoja tu, lakini kuna watu wanalazimisha kutumia mpira mmoja kwa michezo miwili au zaidi. Mwisho wake inachoka vibaya na hata ikitupwa jalala gani haiwezi kuokotwa hata na mbwa achilia mbali wanyama wengine ambao tunawaweka kundi la mahayawani.
 

Natafuta Mke wa kumuoa
 
mimi nakuridhisha kwa kukuambia kwamba, ccm wameshinda kata zote nne
 
Mbona haukuuliza uchaguzi wa rais 2010 kwani 34% tu ndo waliopiga kura na kura zjlizomuweka JK madarakani zilitoka humo humo.
 

kutokujiandikisha kuoiga kura ni upumbavu,kujiandikisha alafu usipige kura ni upumvavu zaidi.viongozi wabovu huchaguliwa na watu wasiopiga kura.JK nyerere.
 
Mkuu SalimKabora ulikuwa unataka kusemaje?:help:
 
Hao wote 6,000 walojitokeza walikuwa ni MaCCM wakuaminika wote lakini kutokana na Upuuzi wenu mkiongozwa na Mwigulu Nchemba wameamua kujivua GAMBA na kujiunga na CDM kwa njia ya Kura.
Mlizani njama zenu za kuondoa wapiga kura wafuasi wa CDM zitawasaidia?.

Mnajizika wenyewe! hata mgewaleta mabalozi wenu tu ndio wapige kura bado mgeshangaa kipigo chenu!.

Someni alama za nyakati mmebaki na wanachama wengi wa sare tu lakini wa kura ni wachache mno.
 
Last edited by a moderator:
We utakuwa si mzima....
1. Aliyekuambia kuwa waliobaki majumbani bila kupiga kura ni wafuasi wa CCM PEKEE ni nani..?? Unaweza ukaweka ushahidi hapa..??
2. Kwa nini waliojitokeza kupiga kura hawakuwapigia CCM kura zote..???
3. Wale waliowapigia CUF unawaweka kwenye kundi lipi..???

Kuna wakati tuseme ukweli, sepetu (chepe) tuiite sepetu (chepe), na si tubadili jina na kuiita kijiko kikubwa...
 
kutokujiandikisha kuoiga kura ni upumbavu,kujiandikisha alafu usipige kura ni upumvavu zaidi.viongozi wabovu huchaguliwa na watu wasiopiga kura.JK nyerere.
Dada yangu gfsonwin pole, haya uliyoambiwa ni makali kusoma lakini ni ukweli mtupu!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…